bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Bhana bhanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] billy butcher being billy
Nahisi tunaweza kumuweka kundi moja Thomas Shelby
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhana bhanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] billy butcher being billy
Siunaona kila nikipita kwenye huu uzi lazima niokote kipande cha mnofu asanteeeeeeee
Siunaona kila nikipita kwenye huu uzi lazima niokote kipande cha mnofu asanteeeeeeee
Kwa maoni yangu sioni utofauti ila kuna utofauti ninaouona hapa ni vile wanavyoelezewa (inategemea ni wapi unapokea info zao) ila maudhui yanabaki palepale kwa pande zote mbili.Lads, niko confused kidogo hapa, naombeni mniweke sawa..
Kuna uhusiano gani wa Mcu_Asgard na Norse gods???? Maana watu waliopo asgard ie hela, loki, thor, odin ndio haohao wapo kwenye mythology ya norse gods.
Msaada tafadhali wajuvi.
Inatoka lini chief[emoji378]View attachment 2292598
by the order of the peaky blindersBhana bhanaaaa
Nahisi tunaweza kumuweka kundi moja Thomas Shelby
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wa Suicide squad ni Viola Davis mwanamama anafanya kazi nzuri sana ni súper talented kwakweliniaje wakuu, natumai mpo pouwa. mimi ninataka ku-share some nuggets of gold katika maswala ya film, ingawa sio mcu, ila madirector au events, na actors ni favourite kutoka mcu.
1. The gray man
Aisee, hii kitu iko pouwa. kama mliangalia terminal list mkaipenda, basi hii utaipenda pia. ina vibe la "john wick, nobody na extraction" kwa pamoja. Directors ni The Russo bros(hakuna mcu bila hawa jamaa), wameitendea vyema movie, pia yupo "cap A" katika nafasi ya roho mbaya, kwa maoni yangu kaitendea vyema sana, Pia kuna ryan gosling, mwamba alipotea sana, kafanya vyema sana, hopefully ndo itakuwa time ya yeye kurudi kwenye spotling.
imeshatoka, imeandalia na netflix.
2. The Woman King
Bila shaka wote tunawafahamu "Dora miraje", wale walinzi wa familia ya kifalme ya Wakanda, pia wanashika nafasi ya ujenerali katika nchi ya wakanda(kwenye what if tuliona mama yake black panther ni general anayeongoza jeshi la waknda, pia alitoka katika kikosi cha Dora miraje){Pia Black ponther ali-freeze alivyomuona lupita nyongo ambae ni covert operative/spy kutoka kikosi cha dora miraje, labda tungekuja kuona black panther akimuoa huyo dora miraje.[Until Valhalla, Chadwick.]}.
Sasa, tushawahi kufikiria labda Dora miraje ni "Inspiration" kutoka historia ya kweli? Kwamba kuna kikundi cha kijeshi cha wanawake watupu kilichowahi kuwepo hapa africa? Na kilikuwa vyema katika medani za vita?
Woman King inatupa muono kidogo wa kikosi cha walinzi wanawake wa ufamle wa Dahomey(Dahomey women warriors), waliokuwa na jukumu la kulinda familia ya kifamle na ufamle wa dahomey kwa ujumla. imekaa pouwa sana{trailers}, pia humo ndani kuna fight scenes{kutoka kwenye trailer} zimekaa ki-dora miraje sana(tunajua kutokana na mcu, dora miraje wako pouwa sana, si waoga, na wanajua wakifanyacho, well, bucky, cap A mpya na yule Cap A wa muda kutoka falcon and winter soldier, wanaifahamu shughuli yao ipasavyo). Dahomey inapatika huko Benin.
Waigizaji, mimi nimemuona na kumfahamu mmoja tu, yule mother black wa kwenye Suicide squad. anatoa shoo ya nguvu.
bado ni trailer tu, ila inatoka mwezi wa 9 au 10. kwa maoni yangu, ni worth the watch.
yap, viola davis.Wa Suicide squad ni Viola Davis mwanamama anafanya kazi nzuri sana ni súper talented kwakweli
Nimeangalia trailer ila kwenye comment section naona people are on each other throats kila mtu ana lake la kusema kuhusuana na ufalme wa Dahomey
wanasema basically the history of Dahomey Kingdom ni kwamba... ufalme ulikuwa unanguvu za kijeshi kukamata waafrica wenzao na kuwauza kwa whites kama slaves, kulipotokea ile abolition ya slave trade ilisababisha hiyo Kingdom ku colapse maana haikuwa na nguvu tena
Kwahiyo hiyo Movie ni sehemu nyingine ya Hollywood kufeli kumuwakilisha muafrica on the big screen.. God, hii Movie ikitoka itazid kuwa controversial maana sio ule ubishani
Btw i don’t know shit about history nataka nikafuatlie kidg nifahamu zaid kuhusu hiyo Kingdom
ngoja tusubiri hiyo sept... ila trailer kali sana nimependa nimeona mwanadada mmoja anapiga ile move ya black Widowyap, viola davis.
tunajua ni falme nyingi za kiafrica zilifanya hivyo. baada ya vita waliuza mateka na kuwaoa wakezao kama "spoils of war', we all know that. kutokana na hiyo ndo tunakutana na jamii mpya, mfano carribean islandsm origin ya pipo zake ni huko, benin/dahomey wa dini yao inaitwa vudon, carribean wanaita voodoo.
hiyo kwa comment section ndo mambo ya "political correctedness", kila kitu kina pande mbili, dini, maisha, tamaduni etc. hollywood wameamua kuonesha upande mmoja, hao wengine waoneshe upande mwingine.
the kingdom ni interesting bro, mpaka leo wapo, wanam-serve "woman king" wao.
Huna tofauti na mimi bro, ila aicheki bro, netflix wamepatia sana.Xaph87 The Gray Man itabid niicheki japo sikupenda gosling awe lead character
and title iko lame, 😁 mtu mwingine anaweza akasema mimi ni hater...just a thought tu ndg zangu
No wayGuys guys guys
WHAT IF season 2 teaser trailer imetoka
MCU daaah
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
nipo hapa bro.Hivi humu kuna mtu yeyote ambae ashawahi angalia The sranger things?