Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Brother hivi umeona kwamba hii theory ya Multiverse imepunguza ile thrill & stakes kuwa very high kwenye movies kama mwanzoni, kwa mantiki ya kwambaHii simple sana, na jibu tayari wanalo. Alternate realities/universes inajibu hiyo.
Kwenye dr. strange;MoM wameonesha kina strange wa kila aina kutoka universe tofauti tofauti, hawawezi shindwa kwa xmen, plus wameshamuonesha charles xavier(professor X), wamalizie tu.
“Well kafa Dr strange wa universe hii i bet kutakuwa na supreme strange badass kuliko huyu kwenye alternate reality... there is no need to be sad then”
Kama Wale Illuminati walivyouwawa na wanda nkawa nawaza “okay...that was disappointing lakin i bet kutakuwa na wengine ambao ni so much more😂🙌🏽“
Umeona nachomaanisha