Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Huyu bwege anatabasamu la kinafiki sana
Jamaa ana tabasamu la psycho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bwege anatabasamu la kinafiki sana
I respect Keanu ila hii role abaki Jamaa yule wa The Agents of Shield... Gabriel Luna nafikir[emoji378]View attachment 2292598
Hii simple sana, na jibu tayari wanalo. Alternate realities/universes inajibu hiyo.
Honestly, watakuwa wanazingua sana. Walete sura mpya. Big stars wa marvel hawakuwa maarufu sana kabla ya kuingia hapo mcu, ila cheki now, kina chris pat, chris hemsworth, cap A, antonie, tony stark, mark ruffalo, late black panther, scarlett johansson etc. Kuleta an already established big actor/ess, ni kama wana-"ride" mafanikio individual ya huyo muigizaji.I respect Keanu ila hii role abaki Jamaa yule wa The Agents of Shield... Gabriel Luna nafikir
Download app inaitwa AZ Movie ipo hiyo hiyo app future iko hivi View attachment 2293744Wakuu napataje hii movie ya thor love and thunder
Tulisha mzoea baada ya kumkosa cage sasa wametupeleka pengine tenaI respect Keanu ila hii role abaki Jamaa yule wa The Agents of Shield... Gabriel Luna nafikir
WoyooooooKitu hiyo wazeeeView attachment 2293557
Marvel?Kitu hiyo wazeeeView attachment 2293557
"a badass-asskicker woman with looks that can literally kill",
personal opinion.
Marvel hawawezi, italeta shida mbele ya safari, maana invisible ni Superman on steroids. na comic yake nzima ni "what if ya justice league".Marvel?
Wameichukua hii animation?
Kutakua na mauaji kama mwanzoni?
Bro, Theron anajicho flani hivi akikuangalia, woi, moyo unamelt tu.hii description iko on point sana...brother wewe ni jini 😅🙌🏽
and nakubaliana na mawazo yako kumchukua mtu ambae hajawa star sana inakuwa rahis kufanya debut when it comes to superhero movies ... na tushazoea Marvel hawategemei kuuza movies zao kutokana na bignames za casting yao kama wanavyofanya Netflix (Red Notice)
Casting yao sasa hivi kuna mahali hapako sawa, mfano Eternals wamejaza A-listers kibao Angelina Jolie binafsi nilikuwa nategemea afanye mambo mengi lakini kaishia kuwa ana freak out kila akipata screen time... wakajaza cast ya GOT na hamna la maana movie ikawa Flop
Walete new blood aisee na sio Keanu maana nikimuona namuona John Wick...without beards anakuwa Neo/Mr Anderson
Thor itakuwa bado yupo yupo, hakuna avenger wa kupigana na hercules man-to-man kwa sasa. plus comics zipo hivyo{ingawa hawako comic accurate}So guys, ina maana Thor bado tunae??? Maana ilivyoishia ni Jane kafa na Thor anaendeleza mapambano na yule Mtoto, nilijua Thor ndio movie yake ya mwisho na Jane ana take over...View attachment 2294646
Btw nilikuwa nawaza kwanini arya kachelewa sana kuja mcu.Bro, Theron anajicho flani hivi akikuangalia, woi, moyo unamelt tu.
Jolie walizingua sana mkuu, then wakampa jina la Thena/Athena, a freaking goddess of war, then wao wakamdogolisha flani hivi, hata fight scenes zake zilikuwa subpar sana. Athena anamkalisha chini ares na hercules kwenye combat, mle wanatuonesha anaweweseka tu, like wtf, arya stark would have done better.
plus walivyomuua gilgamesh, man, i was sad.
New Mutant- i hated that one for some reasonBtw nilikuwa nawaza kwanini arya kachelewa sana kuja mcu.
Wait,kwenye new mutant yule si arya stark?