Marvel Cinematic Universe special thread

Rais wa MarvelStudios Kevin Feige amesema kuwa the MCU’s Fantastic Four movie haitakuwa origin story!
Yeeeeeeeees,maanake wataiweka wanavyoona wao ina fit

Nahisi waona it's not fair kumfanya Richard awe the smartest person ever lived bcoz utamtoa mzee Mr stark na Tony stark mwenyewe wakati in our universe Tony ndio the smartest nahisi then ndio watakuja hao kina Bruce burner.
However kwenye comic Da'Vinci correct the if am wrong shuri ndio mwenye akili moja ya sababu ilikua bcoz walipima pale alipoweza kujua jinsi ya kutoa mind stone kwenye bichwa [emoji28] ya Vision

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Hapo shuri alimjibu “I’m sure you did your best” aliwajibu in polite way

and mimi sio wa comics sana ila Riri sio alitengeneza hiyo suit yake katika lab za MIT au
 
Nilikua nakaa nawaza,hughie nime muona kwenye movie gani ila sipati jibu!!
Hadi jana nilikuwa namuwekea movie mshikaji wangu nikaplay SCREAM ndio nikamuona mchizi.

Nikasema ndio maana nilikua sikumbuki vizuri maana naangalia ila sio mpenzi wa horror movies

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Horror movies zilikuwa zinanipa nightmare nilivyokuaa mdogo, wanavyosema PG 13 naelewa sasa

Kama kuna mzaz humu au mtakaokuwa wazazi kuweni vizuri kuzingatia watoto wenu wanaangalia nn kwenye Tv na kwenye internet
 
For me i go for Tony maana Availability ya Tony kwa Avengers kwenye Infinity War ilikua haiwezekani coz alikua in space na akina Strange pia hawakua kwenye same page thus Captain had no option than introducing them to WAKANDA.

Tony is da smartest kwa this universe maana he did the unthiñkable kabla hajafa
 
Mkuu, bro, wacha kumlinganisha Dr. Reed Richard na hao raia wengine. Tafadhali bro, ahsante.

Rocket Raccon mwenyewe ni smarter kuliko stark, na alimwambia(put stark in his place) kwenye endgame, "you are only smart on earth"

Yaan hata kuwaweka pym na banner on the same calliber na stark ni kuwadharau hao jamaa. Tony is rich, ukiwa rich unaweza nunua kitu au mtu yeyote ile, hence unaweza nunua u-smartness wa mtu.

Tony anapesa chafu, ambayo inampa manufaa zidi ya wengine.
 
unthinkable gani hiyo mkuu?
 
Hapo shuri alimjibu “I’m sure you did your best” aliwajibu in polite way

and mimi sio wa comics sana ila Riri sio alitengeneza hiyo suit yake katika lab za MIT au
Sema dogo ndo vile tu anapewa credit mingi tayari, stark alishatengeneza suits hizo sio moja, zaidi ya kumi. so blueprints ipo tayari, ni kukomaa kwa dogo tu. Mimi nasubiria kuona power source ya hiyo suit iyakuwa nini.
 
Sema dogo ndo vile tu anapewa credit mingi tayari, stark alishatengeneza suits hizo sio moja, zaidi ya kumi. so blueprints ipo tayari, ni kukomaa kwa dogo tu. Mimi nasubiria kuona power source ya hiyo suit iyakuwa nini.
Power source swali zuri...

Dogo alikuwa Mentored na Stark, baada ya kufariki stark kama kawaida yake anavyofikiria mbele aliamuachia AI alioupload subconscious yake ikawa inamsuport dogo

Japo kwenye Movie sijui itakuwaje, sema dogo nae ana assistant wake kama Friday ambae yeye dogo alimpa jina la best friend wake aliefariki... nataka kusikia sauti yake itakuwaje?
 

Make sense
 
Aliye pendekeza the terminal list abarikiwe mno. Ngoja nicheki trela ya grayman nione
 
THE DAY SHIFT

Hii Movie sio kama Movie nyingine nimeamua kuizungumzia kwa sababu ya mapenzi yangu binafsi kama...

1. CASTING
Jamie Foxx, Snoop Dogg and Dave Franco... sintomzungumzia Franco ntazungumzia hawa ma legends wawili, yaani Hollywood wamenigusa kwa sababu wamekutanisha Favorites kutoka kwenye Muziki (Snoop Dogg) na kwenye Movies ( Jamie Foxx)...you can tell from my Avatar mimi ni Huge fan wa jamaa

Foxx anaweza akabadilika roles tofauti tofauti habaatishi, anaweza toka ku act kama rais(white house down) akaja kuwa family man(Just mercy) anaweza kuwa Vigilante (Robin-Hood) anaweza kuwa Nerd(amazing spider-man) anaweza kuwa mtu wa vengeance (project-power) yaani jamaa ni power house..ikija kwenye suala la roles-changing and yeah bila kusahau Comedy anajua pia [emoji1430]

2. GENRE
Fantasy, action na ina comedy kwa ndani ndio mahala pake plus snoop analeta vibe la Sherrif mambo za country ndani, kwa kifupi this Movie was made for me [emoji28]

ambae atakaekuwa interested na hii movie trailer link ipo kwa chini [emoji1427]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…