Marvel Cinematic Universe special thread

Samahani ndugu zangu naomba alaumiwe aliyenipa wazo la kuangalia the hoys.

Kwangu mm kwenye upande wa dialogue naona season 2 mwishoni na season 3 ndio bora sana.

Nikimuangalia frenchie(serge), kimiko,hughie,MM na billy wana connection flani hivi wakiwa wanaongea
Unaenjoy kuwaangilia wakiwa wanaongea imagine katika hayo yote kimiko anaongea kwa signs

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Mtu aliyeangalia The Boys akaishia njiani yaani hakunaaa,
Ile series ni kiboko aisee sijui wametia kilevi gani aise
 
Release date? Vipi bullet train imeshatoka?
 
Yeah alisema hivyo akapunzike sio mbaya

Hivi mnaona wong sku hizi kwenye projects za Marvel anatokea everywhere πŸ˜…
wong si ndo sorcerer supreme saa hivi, anakusanya vijana. Plus da vinci alishawahi kusema sorcerer supreme anatakiwa ajue/asipitwe na jambo linalohusu dunia yetu. Naona wanatilia mkazo tu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…