Marvel Cinematic Universe special thread

Hahaha hongera aisee, yeah itabid tusubir season nyingine, meanwhile nahis utakuwa unahqma kwenye series nyingine
Nimeangalia ipcress files nimemaliza.
Nadhani sijaangalia peak blinders season 6.

Alafu kuna this min series inaitwa chernobyl
Inaelezea Chernobyl event,moja ya sababu Soviet Union kuvunjika. Kinu cha nyuklia kilipata leak blah blah blah
Good series aiseee na inatia huruma maana people will die

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Chernobyl ni kama documentary ama
 
Kwa hiyo kulingana na hii series ya She hulk; Bruce ameshaelewana na Hulk kuachiana zamu kucontrol mwili? Nakumbuka hulk aligoma kumuachia bruce mwili kwenye Avengers: Endgame
 
I am Groot ni nzuri jamani nimecheeeka,
Sawa muda ni mfupi sana lakini inachekesha kalivyo ka cute halafu kana akili.
 
Endgame ilikuwa nusu kwa nusu
Kwa hiyo kulingana na hii series ya She hulk; Bruce ameshaelewana na Hulk kuachiana zamu kucontrol mwili? Nakumbuka hulk aligoma kumuachia bruce mwili kwenye Avengers: Endgame
 
She-Hulk kesho asubuhi sijui leo usiku tutaicheki taking into ac time difference

Back
Top Bottom