bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Nimeangalia ipcress files nimemaliza.Hahaha hongera aisee, yeah itabid tusubir season nyingine, meanwhile nahis utakuwa unahqma kwenye series nyingine
Chernobyl ni kama documentary amaNimeangalia ipcress files nimemaliza.
Nadhani sijaangalia peak blinders season 6.
Alafu kuna this min series inaitwa chernobyl
Inaelezea Chernobyl event,moja ya sababu Soviet Union kuvunjika. Kinu cha nyuklia kilipata leak blah blah blah
Good series aiseee na inatia huruma maana people will die
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sio doucumentary, ila ni inspired by true events.Chernobyl ni kama documentary ama
No series kabisa,na kuna mastaa yaanChernobyl ni kama documentary ama
Unairate ngapi?No series kabisa,na kuna mastaa yaan
Ila based on the true event
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
6.5Unairate ngapi?
si imeshaisha bro! au vipi?Hivi Comic con ya San diego imekuwaje?
si imeshaisha bro! au vipi?
π I am Groot njoo ujibu hukuHii series ya Im groot vipi yani vipande ata dakika tano havifiki inakuwaje wamefanya hivi hawa jamaa
ππ sasa unanitaka niseme nini?π I am Groot njoo ujibu huku
Ndio kama hivyo ulivyoona tu. Yaani sinaga maneno mengi zaidi ya haya (I am Groot)πHii series ya Im groot vipi yani vipande ata dakika tano havifiki inakuwaje wamefanya hivi hawa jamaa
Ndio kama hivyo ulivyoona tu. Yaani sinaga maneno mengi zaidi ya haya (I am Groot)π
ππ sasa unanitaka niseme nini?
She hulk ianze nimuone daredevil.
Pia i wish siku wawakutanishe Deadpool na the real taskmaster.
Au Deadpool na Spider-Man.
Kwa hiyo kulingana na hii series ya She hulk; Bruce ameshaelewana na Hulk kuachiana zamu kucontrol mwili? Nakumbuka hulk aligoma kumuachia bruce mwili kwenye Avengers: Endgame
Kwa hiyo kulingana na hii series ya She hulk; Bruce ameshaelewana na Hulk kuachiana zamu kucontrol mwili? Nakumbuka hulk aligoma kumuachia bruce mwili kwenye Avengers: Endgame
I am Groot ni nzuri jamani nimecheeeka,
Sawa muda ni mfupi sana lakini inachekesha kalivyo ka cute halafu kana akili.