Marvel Cinematic Universe special thread

task master kwenye comics kuna mtu alishindwa ku mimic fight moves, alikuwa deadpool au?
Mtu ambae Task master hua humimic moves zake ni Moon Knight maana jamaa ni gaidi sana unaweza kumpiga ngumi asiikwepe wala kuipangua. Anakuacha umpige hadi vidole vyako viteuke. Why? Ana Abnormal Pain Tolerance pia matatizo yake ya akili huchangia.

Mwingine mwenye mbinu ya kuacha umpige hadi uumie wewe ni Jack Murdock baba yake Mathew Murdock/Daredevil
 
welcome back
 
Kuna mtu kashaaangalia she-hulk? maana mwanzo nlihis cgi mbaya ila kadri zilivyotoka trailers nikawa nimevutiwa, plus ile appearance ya DD imekuwa insane

Ila kama DD asingetokea kwenye trailer halafu wangetushtua kipindi tunaangalia ndio jamaa angetokea as a suprise, aisee watu wange faint 😂
 
nimeitazama jana usiku nimeipanda naona Hulk na Banner wanaishi kwa kuviziana maana Bruce ana device inayoziwia Hulk kuchukua control sasa walivyopata ajali ile device imevunjika Smart hulk karudi

Wamemuonyesha DD kwenye trailer ili kuipa hype maana watu walikua wanaiponda. Mimi nasubiri kumuona Skaar mtoto wa Hulk
 
Nataka nitulie niichek baadae kidg usiku huu huu
 
Kule upande wa DC naona kuna misukosuko sana hasa kwenye maamuzi yanayoihusu movie ya THE FLASH. Sijui nini hatma yake hapo baadae..
 
Warner Bros wanazidi kutengeneza migogoro na hawajui namna ya kuimaliza. Naihurumia sana DC Universe kwa kipindi hiki kwa kweli. Inapitia magumu.
 
Wakuu eti henry cavil wanamuondoa kwenye usuperman ni kweli?? Nimeona wadau mbali mbali wamepinga swala hili na kutoa maoni kuwa kama henry akitolewa bus movie zao wataangalia wenyewe ila kwa upande wangu katika superman's wote huyu jamaa ametisha ni the best superman.
 
Pia nikakutana na hiii je jamaa ata fit humu baada yq marvel kuona dc wanasua sua sasa wanataka kumueka humu kama dc wakimuacha huyu jamaa mauzo ya superman zijazo yatashuka.
 
Ni kweli WB hawana mpango wa kumrudisha Henry Cavil wala Zack Snyder.
Kuanzia Zack,Henry,Ezra, Raymond Fisher,Ben Affleck hawa wote wanapigwa chini haijulikani watarudi au lah.
Wamebaki Gal Gadot na Jason Momoa
 
Pia nikakutana na hiii je jamaa ata fit humu baada yq marvel kuona dc wanasua sua sasa wanataka kumueka humu kama dc wakimuacha huyu jamaa mauzo ya superman zijazo yatashuka.View attachment 2329286
Ipo rumoured hivyo kwamba Henry ataigiza Hyperion. Nguvu za hyperion zipo sawa na Superman.
Hyperion ni kiongozi wa Squadron Supreme tatizo ni kwamba hili kundi lipo out of time yaani halipo kwenye Marvel Universe hii tunayoijua ndio maana watakuwepo kwenye Loki. Coz Loki/TVA is operating out of time.

So kama Henry akiwepo kwenye Loki tusimtegemee kumuona kwenye main universe ya Marvel. Labda kama waandaaji wataenda kinyume na Comics
 
Ni kweli WB hawana mpango wa kumrudisha Henry Cavil wala Zack Snyder.
Kuanzia Zack,Henry,Ezra, Raymond Fisher,Ben Affleck hawa wote wanapigwa chini haijulikani watarudi au lah.
Wamebaki Gal Gadot na Jason Momoa
Ezrq sijuzi kaomba msamaha maana wanasema alikuwa hana displin
 
Huko mtandaoni mashabiki wa henry na superman wameanzisha na campaign kabisa ya kuludishwa kwa henry hata mimi nasapot hawa wb wanataka wafilisike hakuna superman aliokosha watu kama henry aisee na nimeona huyu jamaa apa tyler ndo naskia ataendelea kuwa kama superman na kuna campaign pia imeanzishwa watu wanamtaka tena ben afleck aludi kama batman hili pia naunga mkono batman 2022 ni mbaya kinyama yani haina hata mvuto niliiingalia nusu sikumaliza hadi leo
 
Mbona sielewi...Uzi wa marvel mnapiga story za Superman...hivi hakuna Uzi wa DC??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…