Anti-monitor
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 451
- 642
Blade,Zipo nyingi za zamani mkuu kipindi hicho marvel ilikua haipendwi upande wa muvi kila muvi zao zilifanya vibaya. Ndio maana baadhi ya character waliuzwa kama Hulk,Xmen kwa Fox na Spiderman,Venom,Morbius kwa Sony.
Ilifika hatua wakataka kuuza character wote kwa Sony. Sony walikataa kuwanunua kwamba hawapendeki na hawana soko . Baadae miaka ya tisisni mwishonu ndio Marvel wakatoa muvi ya Blade. Hii muvi ndio ilingiza pesa kiasi zilizosaidia kuanzisha Marvel Studio.
Blade itatoka mwaka kesho mdada japo hata haitaigizwa na Wisley Snipes bali Marshala Ali. I'm excited maana my Idol Kit harrington (kwenye avatar yangu) atakuwepo kama Black Knight.Blade,
My Fav movie of all the time
Wairudishe tena jamani kumbe ndio iliwabeba
Jana nimeangalia GOTG Vol 2, nimecheka sana ile usikuEzra miller ni Reverse flash in real life😂😂
What a Good News, afadhali irudi pia Kit Harrington namkubali,Blade itatoka mwaka kesho mdada japo hata haitaigizwa na Wisley Snipes bali Marshala Ali. I'm excited maana my Idol Kit harrington (kwenye avatar yangu) atakuwepo kama Black Knight.
Mashahala Ali akiigiza kwenye series ya Luke Cage 2019 aliwafuata marvel studios akawaomba wamchukue kucheza character ya Blade Wakamchukua, niombeeni nami natamani niwepo Marvel studios japo sijui kuigiza hata kidogo[emoji28]
DEADPOOL Atakuja tenaBlade itatoka mwaka kesho mdada japo hata haitaigizwa na Wisley Snipes bali Marshala Ali. I'm excited maana my Idol Kit harrington (kwenye avatar yangu) atakuwepo kama Black Knight.
Mashahala Ali akiigiza kwenye series ya Luke Cage 2019 aliwafuata marvel studios akawaomba wamchukue kucheza character ya Blade Wakamchukua, niombeeni nami natamani niwepo Marvel studios japo sijui kuigiza hata kidogo
That’s a self talk we should be working onNina tatizo kwenye uongeaji sidhani kama nitaweza. Labda wanichukue niwe hata mfagiaji vyoo vya marvel studios
Illuminati si tayari wanayo series yao cha kufanya hapo ni kuunga matukio tu. Najua marvel hawashindwi kitu linapokuja swala la mipango.Hope y'all are doing well. Na ninatumaini nyote mmeitazama Series Ep2 ya She Hulk ambayo imeisha ikionyesha Bruce yupo kwenye ndege anaelekea Sakaar (I can't wait to see The Grandmaster again😅) kutokana na Bruce kwenda sakaar watu wamekua wakitabiri kua inawezekana muvi ya World War Hulk ipo njia. Mimi kwa upande wangu nakataa haitatokea hiyo muvi kwa sasa...
NB: Kwenye comics Hulk aliweza kuunganisha Identity ya Bruce Banner na ya Hulk kua kitu kimoja, Hulk akawa anaitwa Doctor Green. Huyu doctor green ndio tunamuita Smart Hulk kwenye muvi
Mnakumbuka niliwahi kuandika kuhusu Illuminati nikaeleza sababu ya kuundwa na Founding members wao ambao ni Tchala,Iron man,Namor, Doctor strange,Black Bolt, Professor X na Reed Richard.
Sasa kutokana na matukio aliyokua anayafanya Hulk ikabidi illuminati wakubaliane kumfukuza duniani hulk kati ya wote Namor alipinga hilo na Professor X hakuwepo maana alikua anadeal na suala la M-Day.
Hulk wakampandisha kwenye jet ikampeleke kwenye sayari za mbali bahati mbaya jet ilipata ajali ikaangukia Sakaar. Sakaar kipindi hichoilikia inaongozaa na mfalme aitwae Red King na msaidizi wake alikua mwanamke anaitwa Cairea. Baada ya hulk kuangukia sakaar alichukuliwa mateka na kufanywa Gladiator.
Huko alikutana Korg,Miek,Brood, Elloe Kaifi, Lavin Skee, Hiroim kundi lao wakaliita Warbound.
Hili kundi la Warbound lilifanya mapinduzi Hulk akamuua Red King na kumuoa Caiera Hulk akawa anaitwa Green King. Mke wa Hulk alipata mimba lakini kabla ya wakati wa kujifungua ile jet iliyomleta hulk ilikua imewekwa kama makumbusho engine yake iliripuka na kumuua Mkewa Hulk aliyekua mjamzito
Hulk alikasirika sana akaona hii ni mbinu ya Avangers akafunga akiwa na kundi lake la WarBound safari kurudi Duniani kugawa kipigo kwa wote walioshiriki kumpeleka sakaar bila yeye kupenda.(Hili tukio sasa ndio linaitwa World War Hulk)
NB. Hulk alipokua Sakaar alipata nguvu maradafu kutokana na mionzi ya hali ya hewa ya Sakar.
Sasa alipotoka Sakaar alifikia mwezini kwanza ambapo ni makazi ya Inhumans, alimpa kichapo Black Bolt. Hulk akaenda kwenye makazi ya X-Men, Professor X akasema yeye hakuwepo kwenye kikao cha kumfukuza Hulk ila kama angekuwepo basi angekubaliana na maamuzi ya kumfukuza Hulk. Hulk akapigaana na Juggernaut
Hulk akaenda Manhattan akampiga Tony akaharibu na stark Tower, akampiga Ghost Rider, akawapa kichapo Fantastic 4, Black Panther nk.
Aliwachukua Doctor strange,iron man, Black bolt na Mister fantastic ba kuwapiganisha hadi wauane😅
Yaani alitembeza kichapo balaa kasoro kwa Namor tu kumbuka katika kipindi chote hicho alikua katika umbo la Hulk na sio Bruce Banner. Kule sakaar kwa kutumia Teknolojia waliweza kuwatoa watoto wa Caiera wakiwa hai wakakua. Waliitwa Skaar baadae alikuja kuwa kwenye kundi la Dark avangers na Hiro Kala huyu yeye alikua Supervillain.
So kwa muono wangu ni kwamba muvi ya World War Hulk haiwezi kutokea bila kuwepo Illuminati kwenye universe yetu ya Marvel bado halijaundwa hili kundi. Nahisi huko ataenda kuonana na mwanae maana hatukujua miaka miwili aliyoishi Sakaar alifanya nini.
Hapana Deadpool hakuwemo kwenye muvi ya Blade 3 bali iigizwa na mtu mmoja Ryan Reynold akiigiza kama Hanibal King alikua anatumia mapanga pia kama Deadpool. Na character hii ya Hanibal King ndio ilimfanya awe casted as Deadpool kwenye muvi ya X-Men: Origins
View attachment 2336122
Ndio alikuwa ni deadpool.task master kwenye comics kuna mtu alishindwa ku mimic fight moves, alikuwa deadpool au?
Hahaha eti “don’t be shy “Ndio alikuwa ni deadpool.
Hiyo ni kutokana na kuwa deadpool fighting style yake ni chaotic at best plus ni master of distraction.
So taskmaster akikopi style hii deadpool tayari keshabadili zamani sana ndio maana hataki kabisa kukutana na deadpool.
Pia taskmaster hapendi kukopi style ya upiganaji wa moonknight sababu moonknight kuna wakati anaamua kuacha apigwe kuliko kuzuia au kujikinga.
It's almost like he be like okay, come on now hit me, don't be shy. Hit me...[emoji3].
All in all Anthony Masters hamtaki kabisa Wade Winston Wilson.
Mortal combat ziko vizuri, hawako visionary tu kwenye muvi wakapiga hela zaidi.Hahaha eti “don’t be shy “
(ni out of context) leo nilikuwa naangalia Mortal Kombat Movie.. hii kitu story zake zilipangiliwa aisee toka zile gameplay za wakati huo
assasin creed wana magemu makali kule gameloft ila muvi ya kiboya sana aseee.Mortal combat ziko vizuri, hawako visionary tu kwenye muvi wakapiga hela zaidi.
Pia assassins creed wangepata mtu mzuri jamaa wangepiga sana hela.
Hitman agent 47 na resident evil ndio walikomaa.
Movie ile walikosea sana, hata uncharted nayo imegoma, Games kuzitengenezea movie zinawashinda Hollywoodassasin creed wana magemu makali kule gameloft ila muvi ya kiboya sana aseee.
Mbona tayari toka jana saa 3 asubuhi.Hii she-hulk episode 3 inakuwa uploaded saa ngapi aisee
iHivi hiyo series ni nzuri mbona ina rate ndogo sana 5/6 kweli ndo imepewa
Nami pia nimeipenda naona wazee baba wamefuta comment yangu ile ya she hulk hapa. Napenda how Jen anavyovunja ukuta wa nne, amenifanya nitamani kuirudia series ya House of CardsMimi nimeipenda maana napenda comedy
Kwa rating naipa 7.5/10 sababu fupi
i
Zack hawez kuondoka Dc akiondoka na dc ndo imekufa ben affleck wanerb walitasema atakuwepo kwenye aquaman lost kingdom ya mwakan