Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Zipo nyingi za zamani mkuu kipindi hicho marvel ilikua haipendwi upande wa muvi kila muvi zao zilifanya vibaya. Ndio maana baadhi ya character waliuzwa kama Hulk,Xmen kwa Fox na Spiderman,Venom,Morbius kwa Sony.

Ilifika hatua wakataka kuuza character wote kwa Sony. Sony walikataa kuwanunua kwamba hawapendeki na hawana soko . Baadae miaka ya tisisni mwishonu ndio Marvel wakatoa muvi ya Blade. Hii muvi ndio ilingiza pesa kiasi zilizosaidia kuanzisha Marvel Studio.
Blade,
My Fav movie of all the time
Wairudishe tena jamani kumbe ndio iliwabeba
 
Blade,
My Fav movie of all the time
Wairudishe tena jamani kumbe ndio iliwabeba
Blade itatoka mwaka kesho mdada japo hata haitaigizwa na Wisley Snipes bali Marshala Ali. I'm excited maana my Idol Kit harrington (kwenye avatar yangu) atakuwepo kama Black Knight.

Mashahala Ali akiigiza kwenye series ya Luke Cage 2019 aliwafuata marvel studios akawaomba wamchukue kucheza character ya Blade Wakamchukua, niombeeni nami natamani niwepo Marvel studios japo sijui kuigiza hata kidogo😅
 
Ezra miller ni Reverse flash in real life😂😂
Jana nimeangalia GOTG Vol 2, nimecheka sana ile usiku
"He's gonna wake up tomorrow... and he's not gonna know... where his eye is! Ha-ha-ha!"

aisee nilicheka sana, nahis nili underestimate uzuri wa Guardians
 
Blade itatoka mwaka kesho mdada japo hata haitaigizwa na Wisley Snipes bali Marshala Ali. I'm excited maana my Idol Kit harrington (kwenye avatar yangu) atakuwepo kama Black Knight.

Mashahala Ali akiigiza kwenye series ya Luke Cage 2019 aliwafuata marvel studios akawaomba wamchukue kucheza character ya Blade Wakamchukua, niombeeni nami natamani niwepo Marvel studios japo sijui kuigiza hata kidogo[emoji28]
What a Good News, afadhali irudi pia Kit Harrington namkubali,

Jifunze kuigiza basi ili maombi yetu yajibiwe haraka
 
Blade itatoka mwaka kesho mdada japo hata haitaigizwa na Wisley Snipes bali Marshala Ali. I'm excited maana my Idol Kit harrington (kwenye avatar yangu) atakuwepo kama Black Knight.

Mashahala Ali akiigiza kwenye series ya Luke Cage 2019 aliwafuata marvel studios akawaomba wamchukue kucheza character ya Blade Wakamchukua, niombeeni nami natamani niwepo Marvel studios japo sijui kuigiza hata kidogo
DEADPOOL Atakuja tena
 
Nina tatizo kwenye uongeaji sidhani kama nitaweza. Labda wanichukue niwe hata mfagiaji vyoo vya marvel studios
That’s a self talk we should be working on

Repeat after me “ you’re amazing...” I am serious say it
“You’re amazing”...can you say it?
 
Hope y'all are doing well. Na ninatumaini nyote mmeitazama Series Ep2 ya She Hulk ambayo imeisha ikionyesha Bruce yupo kwenye ndege anaelekea Sakaar (I can't wait to see The Grandmaster again😅) kutokana na Bruce kwenda sakaar watu wamekua wakitabiri kua inawezekana muvi ya World War Hulk ipo njia. Mimi kwa upande wangu nakataa haitatokea hiyo muvi kwa sasa...

NB: Kwenye comics Hulk aliweza kuunganisha Identity ya Bruce Banner na ya Hulk kua kitu kimoja, Hulk akawa anaitwa Doctor Green. Huyu doctor green ndio tunamuita Smart Hulk kwenye muvi

Mnakumbuka niliwahi kuandika kuhusu Illuminati nikaeleza sababu ya kuundwa na Founding members wao ambao ni Tchala,Iron man,Namor, Doctor strange,Black Bolt, Professor X na Reed Richard.

Sasa kutokana na matukio aliyokua anayafanya Hulk ikabidi illuminati wakubaliane kumfukuza duniani hulk kati ya wote Namor alipinga hilo na Professor X hakuwepo maana alikua anadeal na suala la M-Day.
Hulk wakampandisha kwenye jet ikampeleke kwenye sayari za mbali bahati mbaya jet ilipata ajali ikaangukia Sakaar. Sakaar kipindi hichoilikia inaongozaa na mfalme aitwae Red King na msaidizi wake alikua mwanamke anaitwa Cairea. Baada ya hulk kuangukia sakaar alichukuliwa mateka na kufanywa Gladiator.
Huko alikutana Korg,Miek,Brood, Elloe Kaifi, Lavin Skee, Hiroim kundi lao wakaliita Warbound.

Hili kundi la Warbound lilifanya mapinduzi Hulk akamuua Red King na kumuoa Caiera Hulk akawa anaitwa Green King. Mke wa Hulk alipata mimba lakini kabla ya wakati wa kujifungua ile jet iliyomleta hulk ilikua imewekwa kama makumbusho engine yake iliripuka na kumuua Mkewa Hulk aliyekua mjamzito

Hulk alikasirika sana akaona hii ni mbinu ya Avangers akafunga akiwa na kundi lake la WarBound safari kurudi Duniani kugawa kipigo kwa wote walioshiriki kumpeleka sakaar bila yeye kupenda.(Hili tukio sasa ndio linaitwa World War Hulk)

NB. Hulk alipokua Sakaar alipata nguvu maradafu kutokana na mionzi ya hali ya hewa ya Sakar.

Sasa alipotoka Sakaar alifikia mwezini kwanza ambapo ni makazi ya Inhumans, alimpa kichapo Black Bolt. Hulk akaenda kwenye makazi ya X-Men, Professor X akasema yeye hakuwepo kwenye kikao cha kumfukuza Hulk ila kama angekuwepo basi angekubaliana na maamuzi ya kumfukuza Hulk. Hulk akapigaana na Juggernaut

Hulk akaenda Manhattan akampiga Tony akaharibu na stark Tower, akampiga Ghost Rider, akawapa kichapo Fantastic 4, Black Panther nk.
Aliwachukua Doctor strange,iron man, Black bolt na Mister fantastic ba kuwapiganisha hadi wauane😅

Yaani alitembeza kichapo balaa kasoro kwa Namor tu kumbuka katika kipindi chote hicho alikua katika umbo la Hulk na sio Bruce Banner. Kule sakaar kwa kutumia Teknolojia waliweza kuwatoa watoto wa Caiera wakiwa hai wakakua. Waliitwa Skaar baadae alikuja kuwa kwenye kundi la Dark avangers na Hiro Kala huyu yeye alikua Supervillain.

So kwa muono wangu ni kwamba muvi ya World War Hulk haiwezi kutokea bila kuwepo Illuminati kwenye universe yetu ya Marvel bado halijaundwa hili kundi. Nahisi huko ataenda kuonana na mwanae maana hatukujua miaka miwili aliyoishi Sakaar alifanya nini.

Hapana Deadpool hakuwemo kwenye muvi ya Blade 3 bali iigizwa na mtu mmoja Ryan Reynold akiigiza kama Hanibal King alikua anatumia mapanga pia kama Deadpool. Na character hii ya Hanibal King ndio ilimfanya awe casted as Deadpool kwenye muvi ya X-Men: Origins
View attachment 2336122
Illuminati si tayari wanayo series yao cha kufanya hapo ni kuunga matukio tu. Najua marvel hawashindwi kitu linapokuja swala la mipango.
 
1661608964116.jpg
 
task master kwenye comics kuna mtu alishindwa ku mimic fight moves, alikuwa deadpool au?
Ndio alikuwa ni deadpool.

Hiyo ni kutokana na kuwa deadpool fighting style yake ni chaotic at best plus ni master of distraction.

So taskmaster akikopi style hii deadpool tayari keshabadili zamani sana ndio maana hataki kabisa kukutana na deadpool.

Pia taskmaster hapendi kukopi style ya upiganaji wa moonknight sababu moonknight kuna wakati anaamua kuacha apigwe kuliko kuzuia au kujikinga.

It's almost like he be like okay, come on now hit me, don't be shy. Hit me...[emoji3].

All in all Anthony Masters hamtaki kabisa Wade Winston Wilson.
 
Ndio alikuwa ni deadpool.

Hiyo ni kutokana na kuwa deadpool fighting style yake ni chaotic at best plus ni master of distraction.

So taskmaster akikopi style hii deadpool tayari keshabadili zamani sana ndio maana hataki kabisa kukutana na deadpool.

Pia taskmaster hapendi kukopi style ya upiganaji wa moonknight sababu moonknight kuna wakati anaamua kuacha apigwe kuliko kuzuia au kujikinga.

It's almost like he be like okay, come on now hit me, don't be shy. Hit me...[emoji3].

All in all Anthony Masters hamtaki kabisa Wade Winston Wilson.
Hahaha eti “don’t be shy “

(ni out of context) leo nilikuwa naangalia Mortal Kombat Movie.. hii kitu story zake zilipangiliwa aisee toka zile gameplay za wakati huo
 
Hahaha eti “don’t be shy “

(ni out of context) leo nilikuwa naangalia Mortal Kombat Movie.. hii kitu story zake zilipangiliwa aisee toka zile gameplay za wakati huo
Mortal combat ziko vizuri, hawako visionary tu kwenye muvi wakapiga hela zaidi.

Pia assassins creed wangepata mtu mzuri jamaa wangepiga sana hela.

Hitman agent 47 na resident evil ndio walikomaa.
 
Mimi nimeipenda maana napenda comedy

Kwa rating naipa 7.5/10 sababu fupi

i
Nami pia nimeipenda naona wazee baba wamefuta comment yangu ile ya she hulk hapa. Napenda how Jen anavyovunja ukuta wa nne, amenifanya nitamani kuirudia series ya House of Cards
 
Back
Top Bottom