Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Duu nikajua campuni iimekufa kumbe kaz mbovuUsiseme nakuonea ila hii ni orodha ya tuzo ilizoshinda.. Hollywood upande wa muvi hua wanaangalia zaidi Postive reviews ndio wanaona muvi imefanikiwa.
Inawezekana....si ndo Disney mkuuDisney wanasema Howard the Duck atakua kwenye Guardian of the galaxy 3. Hivi huyu duck si yule yuko kwenye Mickey mouse Cartoon?
Na kwne marvel comics yupo...ni mshkaj wake rocketDisney wanasema Howard the Duck atakua kwenye Guardian of the galaxy 3. Hivi huyu duck si yule yuko kwenye Mickey mouse Cartoon?
Haya ndio yaliyomkuta Peter
Nami nahisi hvo mkuu.. mmmh japo utabiri wangu kwenye Endgame umekosa point kidogo tu!Avatar akirudi lazima amuache endgame,
$3bilion zilee.
Yeah, ila bado wanaelekea,Nami nahisi hvo mkuu.. mmmh japo utabiri wangu kwenye Endgame umekosa point kidogo tu!
Ila bana soko halitabiriki sikuamini kama Maleficient ingekaa wiki nzima hata hela ya bajet haijarudi
Kwa Gemin man mm nashukuru wamerudisha pesa yao ya bajet.. mwanzo ilikua imegoma kabisa. Zombie land Double Tap nayo imeingiza kidogo. Joker inazidi chapa maji inakaribia 1B out of 55m budgetYeah, ila bado wanaelekea,
Huku kwa Smith mambo yamechemka Gemini man nilidhani $500ml ila mpaka sasa siamini kilichotokea.
Dc mwaka huu wamelenga penyewe,Kwa Gemin man mm nashukuru wamerudisha pesa yao ya bajet.. mwanzo ilikua imegoma kabisa. Zombie land Double Tap nayo imeingiza kidogo. Joker inazidi chapa maji inakaribia 1B out of 55m budget
Mimi naona MCU inakua tamu zaidi maana characters wengi wanarudi.. Daah Mungu atupe uhai tu.Dc mwaka huu wamelenga penyewe,
Dolittle, fans wa Robert lazima tuiboost,
Nina uhakika lazima ipige $1b hapo mwakani.
Yeah MCU inazidi kunoga,Mimi naona MCU inakua tamu zaidi maana characters wengi wanarudi.. Daah Mungu atupe uhai tu.
DC napenda Joker tu.
Ila ngoja tuone mwakani RDj ataifikisha wapi dolittle