Marvel Cinematic Universe special thread

Disney wanasema Howard the Duck atakua kwenye Guardian of the galaxy 3. Hivi huyu duck si yule yuko kwenye Mickey mouse Cartoon?
 
Marvel wamethibitisha kua kutakua namwendelezo wa muvi ya Black Widow baada ya hii inayotoka mwakani..so tutegemee kuona Time travelling ikimrudisha bidada
 
..
FB_IMG_15729318762316427.jpeg
 
..
FB_IMG_15728987191353928.jpeg
 
Attachments

  • FB_IMG_15728987191353928.jpeg
    FB_IMG_15728987191353928.jpeg
    61 KB · Views: 10
Avatar akirudi lazima amuache endgame,
$3bilion zilee.
Nami nahisi hvo mkuu.. mmmh japo utabiri wangu kwenye Endgame umekosa point kidogo tu!
Ila bana soko halitabiriki sikuamini kama Maleficient ingekaa wiki nzima hata hela ya bajet haijarudi
 
Yeah, ila bado wanaelekea,
Huku kwa Smith mambo yamechemka Gemini man nilidhani $500ml ila mpaka sasa siamini kilichotokea.
 
Kwa Gemin man mm nashukuru wamerudisha pesa yao ya bajet.. mwanzo ilikua imegoma kabisa. Zombie land Double Tap nayo imeingiza kidogo. Joker inazidi chapa maji inakaribia 1B out of 55m budget
 
Dc mwaka huu wamelenga penyewe,

Dolittle, fans wa Robert lazima tuiboost,
Nina uhakika lazima ipige $1b hapo mwakani.
 
Mimi naona MCU inakua tamu zaidi maana characters wengi wanarudi.. Daah Mungu atupe uhai tu.
DC napenda Joker tu.
Ila ngoja tuone mwakani RDj ataifikisha wapi dolittle
 
Yeah MCU inazidi kunoga,
Uhai ndio muhimu.
 
Back
Top Bottom