Marvel Cinematic Universe special thread

Kwakua wote wametaja jina la muvi mimi nitataja scene. Dialogue hii inatoka kwenye scene ambayo Steve na Sam walikamatwa nadhani ni baada ya lile pambano la darajani ambapo steve aligundua winter soldier ni bucky so akabaki anashangaa then wakakamatwa wakawa wanapelekwa kwenye dentention facility kumbe askari alikua ni imposter Maria Hill. Baada ya hapo walienda mafichoni ndio wakakuta kumbe Fury hajafa ndio wakaongea hayo.
 
Vitu gani hivyo? Nikairudie tena maybe kuna videtails navimiss sehemu.
Illuminati shit it’s like Marvel iko associated na devil or something ,Jaribu ukiwa high sema kama umeokoka achana navyo si recommend
 
You're Right!
 
Mara ya kwanza nilimuona kwenye ile movie Serenity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…