Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Hapana Naomba nikukosoe kidogo HOD inaelezea zaidi tukio la vuta ya wenyewe kwa wenyewe katika koo ya Targaryen. Vita hivyo inafahamika kama A dance of Dragons kipo kitabu chake... Nadhani HOD itatuonyesha pia jinsi House Strong kutoka mji wa Harenhall ulivyoteketea. Nasubiri nione pia kama wataonyesha jinsi koo ya Castamere ilivyoteketezwa na koo ya Lannisters. Hadi wakatunga wimbo wa The rain of Castamere [emoji3577]
Ingekua ni mtihani ulikua ushafeli,
Maana umeweka vitu vingi tofauti na swali lililoulizwa
 
Watu wasiri humu kumbe Avatar iko Theatre na hatuambizani kweli!

Nazeeka aisee
 
Watu wasiri humu kumbe Avatar iko Theatre na hatuambizani kweli!

Nazeeka aisee
Avatar iliyopo theaters si ni ile ya 2009, wamerudia kuitoa tena kwa mara ya tatu sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Avatar 2 ( the way of water ) itakuwa released 16 December 2022.
 
hahah kweli sema hata part 1 hatuelewi tunaenda tena kuangalia kwa sababu c’me on it’s freaking Avatar... The visual is insane
141F63EF-54C6-4AC2-A9D3-E0334B55CA79.jpeg
 
Avatar iliyopo theaters si ni ile ya 2009, wamerudia kuitoa tena kwa mara ya tatu sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Avatar 2 ( the way of water ) itakuwa released 16 December 2022.
Umenifumbua macho mbona Aura walikua wanaenda kula hela yangu jumatano hii [emoji134]
Kumbe ni ile ya zamani yaani wanatukumbusha ya zamani then waje watoe mpyaaa!!!?
 
Ni nani huyu??
Namor the Sub-Mariner (born Namor McKenzie) is an anti-hero in the Marvel Universe, and is the son of an Atlantean princess and a human, making him a mutant-Atlantean hybrid. Despite often being a villain himself, he has redeemable qualities, and is willing to not only protect the sea, but the world.
 
Back
Top Bottom