Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Katengeneza hadi Handaki la kujificha wao wawili tu sasa anatafuta watu wa kuwasaidia kupika na kufua wakiwa kwenye handaki yeye na Asta [emoji1787]
Alimchagua baba yake asta kama mpishi, akienda kwenye dinner ya baba yake asta anapenda kula pie kinouma. Atawanyima wote ila sio Asta.
 
Alimchagua baba yake asta kama mpishi, akienda kwenye dinner ya baba yake asta anapenda kula pie kinouma. Atawanyima wote ila sio Asta.
Alien mpuuzi sana, kuna kitu nashindwa kukielezea ambacho zaidi ndio kimenifanya niipende ile series na uigizaji wa Alien, yaan anaweza akaropoka jambo wengi wasimtilie maanani hadi muhusika mwenyewe ndio ajue, friji lake haligandishi ukimwambia kitu anaropoka hajali kinaweza kuleta madhara gani
 
Si hana emotions, ndio maana anakuwa vile(though saa hivi ndo kaanza kujifunza mambo ya emotions, anaona kuwa na emotions ni weak trait.), mambo ya consequences hajali, mpaka Asta amwambie.
 
HUGH JACKMAN IS COMING BACK FOR DEADPOOL 3 people......!👏👏👏👏
20220928_010006.jpg

Si hana emotions, ndio maana anakuwa vile(though saa hivi ndo kaanza kujifunza mambo ya emotions, anaona kuwa na emotions ni weak trait.), mambo ya consequences hajali, mpaka Asta amwambie.
Ewaaa sasa hapa ndio umenifafanulia kile nilichoshindwa kukisema hana emotions.... Alivyomuumbua Asta kwa familia yake kua ana Mtoto wa miaka 16 [emoji2] wakati mwenyewe alifanya siri [emoji119]
 
Dc na marvel ni kampuni moja au
Ni Kampuni tofauti zinazotengeneza Movie za universes tofauti zilizo katika genres zinazofanana, kiufupi hawa ni competitors though siku hizi there’s no much of any

anyway ichukulie mfano: Azam na Metl( ya MO) hapa TZ... ndio kama hao jamaa
 
ARMOR WARS sasa kuwa single movie badala ya series kama ilivyopangwa hapo mwanzo.
20220930_012547.jpg
20220930_012912.jpg

Ni taarifa nzuri..!
 
Back
Top Bottom