Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Leta nyingine kama hii 😁😁
And where are the missiles
There in the water.
Russian: you sink it?(huku akigongagonga paji la uso 😁)
https://jamii.app/JFUserGuide suzan... anamwambia “you know the rules Brad never take a dog” remember John?

Brad: wickey!? No, wickey took that way too far (akimrefer John Wick) 🤣🤣🤣

Na kule kwenye pilots wale russian wanasema kama MAVERICK 😂
 
Hapana hii ni thriller ila iko interesting kama mkono na comedy again ni Day shift & Bullet Train
Ulishakuwa addicted na muvi za mkono dah inakuwa ngumu kuangalia zingine. Dayshift nabullet train nimesha ziamgalia chekicheki makabrasha huko nipate nyimgine ya wikendi hii.
 
Ulishakuwa addicted na muvi za mkono dah inakuwa ngumu kuangalia zingine. Dayshift nabullet train nimesha ziamgalia chekicheki makabrasha huko nipate nyimgine ya wikendi hii.
😁 eti Makabrasha, sawa mzee
 
Nmekumbuka Kuna
Lou
The enforcer

Chek trailers uone kama ni sahihi kwako
 
Verry accurate tho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
comicsworld.mx-20221003-0001.jpg
 
IMG_2995.jpg

Pamoja na kwamba Love and thunder haikuwa nzuri ila huyu jamaa kanifurahisha sana.

Call the Axe.
 
Okay forget the insane visuals and characters introductions

Forget the emotional rollercoaster and lets focus for second on soundtrack.

Man the soundtrack so far is the best. Waiting for the tracklist
 
Back
Top Bottom