Marvel Cinematic Universe special thread

2021 utakua mwaka mtamu kwetu wapenda muvi.. ombeni uhai
 
Kama hilo lako...la 2021
Duu tatizo mimi nikinunua PC sikai nayo sana mwezi wa sita tu nilinunua nikauza hata mwezi ujaisha mpaka sasa nishanunua na kuuza kama 5 nakuwa na mipango mingi.
 
Try to focus on one thing..once i told ya
Don't change your attitude randomly..
Mimi sio mtunzaji mzuri mwaka huu nishatumia 2
 
Wataonesha na chimbuko la natasha pia, Hawkeye alitumwa kummaliza natasha ila alimuacha, akawa anafanya kazi na shield.
Naam wataonyesha. Japo kwenye Winter soldier walionyesha jinsi alivyoanza huko.
Mimi nina hakika Time travel itamrudisha Tony. Maana ndio wametuonyesha jinsi inavyofanya kazi..Tony pia si atakuwemo kwenye black widow
 
Halafu nilikua sijagundua. Kumbe kwenye Far from home alikua Talos na mkewe wamejibadir kua nick furry...
Halafu nick furry yupo zake angani huko anakula good time
 
Ndio tony atakuwemo yule wa civil war, hizo nyingine zitakuwa kama hadithi za natasha za maisha yake ya nyuma pamoja na maisha yake baada ya civil war,
Ila wakiwarudisha hawa marehemu wote itakua vizuri, japo wataanzisha timeline nyingine.
 
Labda hukucheck credit scene, kule mwisho nilicheka sana, marvel wanajua kutuchezea akili.
 
Ndio tony atakuwemo yule wa civil war, hizo nyingine zitakuwa kama hadithi za natasha za maisha yake ya nyuma pamoja na maisha yake baada ya civil war,
Ila wakiwarudisha hawa marehemu wote itakua vizuri, japo wataanzisha timeline nyingine.
What If?
Yote tunayofikiria juu ya phase 5 yatakua ndivyo sivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…