Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitanunua PC yangu isyopungua 800K2021 utakua mwaka mtamu kwetu wapenda muvi.. ombeni uhai
[emoji54][emoji54] for movie napenda kucheki kwenye PC kuliko flat tvAlmighty akusaidie utimize ndoto zako..
Je kwanini ni pc?
Haa lengo gani.Same to me.. sema mimi nilikamilisha lengo toka 2016
Duu tatizo mimi nikinunua PC sikai nayo sana mwezi wa sita tu nilinunua nikauza hata mwezi ujaisha mpaka sasa nishanunua na kuuza kama 5 nakuwa na mipango mingi.Kama hilo lako...la 2021
Try to focus on one thing..once i told yaDuu tatizo mimi nikinunua PC sikai nayo sana mwezi wa sita tu nilinunua nikauza hata mwezi ujaisha mpaka sasa nishanunua na kuuza kama 5 nakuwa na mipango mingi.
Bado mbali, nataka nione kwanini barton alimuacha hai Natasha,1st May kitu hewani cha Black Widow
Wataonesha na chimbuko la natasha pia, Hawkeye alitumwa kummaliza natasha ila alimuacha, akawa anafanya kazi na shield.Alimuacha vipi natasha.? Si kwamba ni kisa cha baada ya Cap.Civil war.?au
Naam wataonyesha. Japo kwenye Winter soldier walionyesha jinsi alivyoanza huko.Wataonesha na chimbuko la natasha pia, Hawkeye alitumwa kummaliza natasha ila alimuacha, akawa anafanya kazi na shield.
Ndio tony atakuwemo yule wa civil war, hizo nyingine zitakuwa kama hadithi za natasha za maisha yake ya nyuma pamoja na maisha yake baada ya civil war,Naam wataonyesha. Japo kwenye Winter soldier walionyesha jinsi alivyoanza huko.
Mimi nina hakika Time travel itamrudisha Tony. Maana ndio wametuonyesha jinsi inavyofanya kazi..Tony pia si atakuwemo kwenye black widow
Labda hukucheck credit scene, kule mwisho nilicheka sana, marvel wanajua kutuchezea akili.Halafu nilikua sijagundua. Kumbe kwenye Far from home alikua Talos na mkewe wamejibadir kua nick furry...
Halafu nick furry yupo zake angani huko anakula good time
What If?Ndio tony atakuwemo yule wa civil war, hizo nyingine zitakuwa kama hadithi za natasha za maisha yake ya nyuma pamoja na maisha yake baada ya civil war,
Ila wakiwarudisha hawa marehemu wote itakua vizuri, japo wataanzisha timeline nyingine.