Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Mtw
Fanya kuinstall bitcomet,
Alafu Ingia yts.com humo zote Ni hd,
Ukishachagua unayotaka,
Bofya download,ukishabofya download utaona alama ya magnet bofya kwenye magnet, hiyo bitcomet itadaka fasta mzigo unaanza kushuka,

Huwa nadownload muvi hata tisa,
Bando la 10gb saa6 mpaka 12asubuhi.
Mtandao gan Mkuu
 
Marvel wanakujaje kwa sasa wakuy? Phases Two itakuwaje..
Phase 2 zilipendwa,
Jiandae kwa Dr strange2 ,black panther 2, blade, Thor love and thunder, captain Marvel 2,eternal, loki, shang chi,Wandavision, she hulk, falcon and the winter soldier, black widow, Hawkeye.........
 
..
FB_IMG_15731322941926488.jpeg
 
#UPDATES
Captain America 4 ipo jikoni inatengenezwa. Staring atakua Anthony Mackie (Sam Willson/Falcon)
 
Hivi Red skull aliwezaje kutoka kua adui wa Captain hadi kua Stone keeper
 
Imagine Steve Rogers Na Deadpool unawafungia kwenye chumba kimoja,

Nahisi Steve atazimia Deadpool akianza Kudrop F bombs😂
 
Imagine Steve Rogers Na Deadpool unawafungia kwenye chumba kimoja,

Nahisi Steve atazimia Deadpool akianza Kudrop F bombs😂
Imagine Quill..thor..Scott..deadpool.. wapige story kwenye muvi moja. Full vicheko
 
Black widow 1st trailer- 3th december.
Tyme inakimbia sana mazey..
 
Back
Top Bottom