Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Ni character mmoja aliyetokea kwenye series mbili tofauti Agent Carter na Shield. Kumbuka zote hizi series zimetokea kwenye universe moja, ndio maana pia Peggy Carter pia alionekana huku agent of shield

Sawa, najua kwenye Agents of shield na Agent carter ni character moja, swali langu ni pale kwenye Avengers assemble alikuwa kama NYPD officer na sisi tunajua huyu ni wa shield
 
Wakuu mimi nina theory yangu hapa, naomba muiangalie kama itakua sahihi.

Nilikua najaribu kufikiria Ligic behind series za Daredevil,Punisher, Agent of shield nk kuhamishiwa Disney+. Kiuchumi tunaweza sema kwamba wameamya kufanya hivo kwakua Disney+ haina content nyingi since bado ni App mpya, na Marvel tayari wanaRight ya kuziweka kwao ili ilete mtiririko mzuri kwa anayefutilia Franchise ya MCU.
Sasa ndio nkawa najiuliza kwanini wafanye kipindi hichi ambacho Doctor Strange Multiverse of madness inaenda kutoka??
Hizi ni theory yangu...
  1. Kuwaingiza Inhuman race/Character MCU
Kwa mujibu wa comics kwa mliosoma ile post niliyoweka humu ya Illuminati Nilisema kwamba BlackBolt alikua moja ya Founding members wa Illuminati akiwakilisha race ya Inhuman. Sasa kwenye trailer ya Doctor strange tumeona Viti vya kwenye HQ ya Illuminati baadhi waliokaa hawaonenkani vyema so inawezekana moja kati ya wawakilishi anaweza kua Daisy "Quake" Johnson au hata BlackBolt mwenyewe kutoka series ya Inhumans. Lakini kinachonifanya nione nipo sahihi ni kwamba mwisho wa mwaka huu itatoka series ya Secret Invasion ambapo Skrulls watakua wametapakaa Duniani kote...Kwa mujibu wa comics aliyesababisha Skrulls kufanya hivo ni BlackBolt (Nilieleza kwenye Post ya Illuminati) so kama Marvel studios wataheshemu original adaptation lazima wawatumie Inhumans ili kuleta mtiririko bomba.

Nitaendelea theory #2 nikipata muda, ngoja niendelee kufikiria...
 
Pattinson kaenda Theatre siku ya premier ya Batman,... NWH Tobey na Andrew walienda huku wakivaa disguise, hivi lini kwetu celebrity watakuja ndani ya theatre kutu suprise[emoji28]
 
Pattinson kaenda Theatre siku ya premier ya Batman,... NWH Tobey na Andrew walienda huku wakivaa disguise, hivi lini kwetu celebrity watakuja ndani ya theatre kutu suprise[emoji28]
Aliye karibu nawe akupige kibao uamke toka usingizini😅
Je muvi za kibongo hua zaonyeshwa cinema pia na Watu wanaenda kutazama??
Planet X - home planet.
Theory yangu #2 juu ya sababu ya kuhamishia Series Disney+

2: Kuwaingiza Jessica Jones,Luke Cage MCU
Kama Daredevil asingeonekana kwenye NWH basi ningesema kua kwenye series zijazo atakuwepo ndio maana Series yake imeingizwa Disney+. Ila nina uhakika Luke cage na Jessica Jones wanaingia mcu na nahisi hasa Jessica atakuwepo kwenye She Hulk maana Jessica ni Private Investigator na Jenifer Walter/She Hulk ni Lawyer so Lazima hapa kati kutakua na cross over na Kama Jessica atakuwepo kwenye basi Luke pia atakuwepo maana ni mume wake kwa mujibu wa Comics.

My bet ni kwamba Jesica atakuwepo kwenye She Hulk, Daredevil atakuwepo kwenye Echo na Punisher atakuwepo kwenye Moonknight
 
Aliye karibu nawe akupige kibao uamke toka usingizini[emoji28]
Je muvi za kibongo hua zaonyeshwa cinema pia na Watu wanaenda kutazama??

[emoji23][emoji23][emoji23] nshaamka, kwahiyo haiwezekan au, movies za kibongo hapana aisee premier zinakuaga chache zinapitaga siend hawajanishawishi bado unless kuwe na mabadiliko makubwa

Watu wanaotumia cinema bado ni wachache wengi tunaendaga siku za blockbusters sema ikitokea hiyo suprise, nahis mashabik watazid
 
Mapenzi yangu kwa Marvel Studios yanaweza kuzidi jinsi nimpendavyo my Skye, Marvel really care for Us. Wanajali nini tunataka na wanatupatia. Shukrani zote kwa Kevin Feige kwa kutujali. Mungu amjalie hata miaka 70 tutaenjoy sana.
FB_IMG_16466388865670759.jpg
 
Mapenzi yangu kwa Marvel Studios yanaweza kuzidi jinsi nimpendavyo my Skye, Marvel really care for Us. Wanajali nini tunataka na wanatupatia. Shukrani zote kwa Kevin Feige kwa kutujali. Mungu amjalie hata miaka 70 tutaenjoy sana.
View attachment 2142496
wakimleta Skye kwenye MCU itapendeza sana wakimrudisha yule actress aliitendea haki sana ile character.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nshaamka, kwahiyo haiwezekan au, movies za kibongo hapana aisee premier zinakuaga chache zinapitaga siend hawajanishawishi bado unless kuwe na mabadiliko makubwa

Watu wanaotumia cinema bado ni wachache wengi tunaendaga siku za blockbusters sema ikitokea hiyo suprise, nahis mashabik watazid
Movie za kibongo tuwe wakweli hakuna mtu wa kuspend some money ili aingie theatre kwa ajili yao. Waendelee kusapotiana tu wao kwa wao.
Zamani ilikuwa inakuja vizuri sana sijui kulitokea nini ghafla movie zao zote hazivutii
 
Juakali inavutia ila huba washaanza kukela
 
Thanks for recommending me to Canadian lad, nimenfuatilia sana video zake niseme tu he's the best. Natumaini kama nami ningepata tools za kutosha kama yeye ningeweza kufanya kitu. Ila kuangalia muvi kwa 0.25speed yataka moyo hongera kwake...Kwa bongo sidhani kama kunawasomaji wa comics wengi. But I'm really impressed and motivated to do such kind of thing 😍

Niliangalia video hiyo ya Trailer la Multiverse of madness, kuna Sehemu wakati Christine Palmer anafunga ndoa anasema kwamba christine atakua ndio anaigiza character ya Clea, ambae ni mke wa Stephen strange kwenye comics...Mimi nakataa. Na nitatoa factors/theory zangu Kama ifuatavyo.

✓Kipindi Drew Goddard anatengeneza Series ya Daredevil alitaka kutumia character ya Night Nurse kutoka kwenye comics ambapo Huyu ni nesi/manesi anayehudumia Superhero waliopata majeraha kama vile Punisher,Luke Cage,Iron fist, Daredevil nk. Lakini Drew Goddard aligundua kwamba character hiyo inampango wa kutumiwa na MCU miaka ya baadae. (Ndio alikuja kutumiwa kwenye muvi ya Doctor strange akiitwa Christine Palmer)

Drew alibadirisha character ya night Nurse na kutumia jina la Claire Temple, waliotazama series za Daredevil, Defenders,Luke Cage walimuona.

So mpaka hapo tumejua kwamba christen Palmer mpenzi wa Stephen strange kwenye comics anafahamika kana night nurse....

Clea....
Clea ni mtoto wa Umar (kama sijakosea) mpwa wa Dormamu pia, Anaishi Dark Dimension huyu walikutana na strange wakapendana japo kuna uadui lati yao wakafunga ndoa, waliungana na kua wanapambana pamoja dhidi ya mystic beings.

#1: Sasa sidhani kama itakua sahihi kama MCU wataruhusu Character ya Night Nurse na Clea ichezwe na mtu Mmoja, yaani watuaminishe kua night nurse ndio clea sidhani kama watakua wamefanya vyema hasa kwetu tunaofatilia comics, Marvel studios creative team wapo makini sana sidhani kama wataweza kuruhusu mkanganyiko huu.

#2: Lakini pia sioni umuhimu wa kumleta clea kwa sasa maana tayari washamleta American Chavez powerful kama clea au zaidi yake... kwenye muvi strange atakua mentor wa American Chavez hivyo tunategemea Strange kurithiwa nae maana naona MCU wapo serious kwa swala la gender swapping kwa Superheroes.....Kama asingekuwepo american Chavez basi ningekubali theory ya kumfanya Christine Palmer kua clea.

Ila haya ni mawazo yangu tu.. naweza kua sahihi au sipo sahihi, kikubwa tusubiri may 6 tutapata majibu.

AApril 12

Da'Vinci ulielezea kuhusu iluminanti na naona kwenye tangazo la doctor strange majamaa wapo humo kwa msaada wa your double Canadian ameelezea vema ndio nazidi kuona wewe na mchizi mpo sawa kabisa yaaani salute sana mkuu.
Naona mule kuna Richard,frank, captain carter na yule jamaa wale steve aliyesepa ukimtoa Wang
By number wako 7.

MCU is the best yaaaani,yaaan movie serious alafu una i animated hapo hapo?View attachment 2134424

View attachment 2134487
Taneleer Tivan

One down, Five to go.

Umechelewa sana kumfahamu huyu jamaa. Mimi nina miaka minne kwenye channel yake. Yuko vizuri sana

Juakali inavutia ila huba washaanza kukela
 
Thanks for recommending me to Canadian lad, nimenfuatilia sana video zake niseme tu he's the best. Natumaini kama nami ningepata tools za kutosha kama yeye ningeweza kufanya kitu. Ila kuangalia muvi kwa 0.25speed yataka moyo hongera kwake...Kwa bongo sidhani kama kunawasomaji wa comics wengi. But I'm really impressed and motivated to do such kind of thing [emoji7]

Niliangalia video hiyo ya Trailer la Multiverse of madness, kuna Sehemu wakati Christine Palmer anafunga ndoa anasema kwamba christine atakua ndio anaigiza character ya Clea, ambae ni mke wa Stephen strange kwenye comics...Mimi nakataa. Na nitatoa factors/theory zangu Kama ifuatavyo.

✓Kipindi Drew Goddard anatengeneza Series ya Daredevil alitaka kutumia character ya Night Nurse kutoka kwenye comics ambapo Huyu ni nesi/manesi anayehudumia Superhero waliopata majeraha kama vile Punisher,Luke Cage,Iron fist, Daredevil nk. Lakini Drew Goddard aligundua kwamba character hiyo inampango wa kutumiwa na MCU miaka ya baadae. (Ndio alikuja kutumiwa kwenye muvi ya Doctor strange akiitwa Christine Palmer)

Drew alibadirisha character ya night Nurse na kutumia jina la Claire Temple, waliotazama series za Daredevil, Defenders,Luke Cage walimuona.

So mpaka hapo tumejua kwamba christen Palmer mpenzi wa Stephen strange kwenye comics anafahamika kana night nurse....

Clea....
Clea ni mtoto wa Umar (kama sijakosea) mpwa wa Dormamu pia, Anaishi Dark Dimension huyu walikutana na strange wakapendana japo kuna uadui lati yao wakafunga ndoa, waliungana na kua wanapambana pamoja dhidi ya mystic beings.

#1: Sasa sidhani kama itakua sahihi kama MCU wataruhusu Character ya Night Nurse na Clea ichezwe na mtu Mmoja, yaani watuaminishe kua night nurse ndio clea sidhani kama watakua wamefanya vyema hasa kwetu tunaofatilia comics, Marvel studios creative team wapo makini sana sidhani kama wataweza kuruhusu mkanganyiko huu.

#2: Lakini pia sioni umuhimu wa kumleta clea kwa sasa maana tayari washamleta American Chavez powerful kama clea au zaidi yake... kwenye muvi strange atakua mentor wa American Chavez hivyo tunategemea Strange kurithiwa nae maana naona MCU wapo serious kwa swala la gender swapping kwa Superheroes.....Kama asingekuwepo american Chavez basi ningekubali theory ya kumfanya Christine Palmer kua clea.

Ila haya ni mawazo yangu tu.. naweza kua sahihi au sipo sahihi, kikubwa tusubiri may 6 tutapata majibu.

you should definitely get ur own youtube channel
 
Nilikuwa nacheck xmen hap sema kuna ka mkanganyiko sijakaelewe.
1. Kwenye origin: wolverine naona logan alikuwa volunteer kwenye kuweka iron af then nakuja kuona kwenye xmen apocalypse ni kama walifanya kumforce, hii ilikaaje?
2.kwenye days of future past mwishon inaonekana logan alichukuliwa na mystique in form of commender stryker then in apocalypse some how naona alikamatwa na stryker. How and when does that happen?
3.kwenye origins inaonekana scott anakutana na prof Xavier for first time baada ya kuokolewa na logan, then in apocalypse naona alikuwa introduced kwa prof via his brother, hii imekaaje hapo?
 
Hivi hii Movie “Uncharted” ni nzuri au ndio adaptations siku zote zinashindwa kufikia audience expectations
 
Back
Top Bottom