Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Watatu watatu mwisho ungeangusha demons from dark dimensions 😂🙌🏽
Yaani I can't imagine niwe nimechill zangu geto mara out of nowhere boom! mtoto mzuri anadondoka kutoka juu, yaani mimi ningekuwa hata low level sorcerer basi ningekuwa nawaangusha watatu watatu kama wale kila siku. wangeniuliza kwanini ningewaambia ni part of my home practicing.

Strange ni "simp" at best.
t
 
Watatu watatu mwisho ungeangusha demons from dark dimensions 😂🙌🏽

t
Nimecheka kinyama aisee ila kama dormamu ana mtoto mzuri wa kike basi ningemuangusha kwa makusudi geto.
Strange hana noma angenisaidia kumrudisha au kama mzee wake akiingilia kati basi strange tungesaidiana kubargain.

Dormammu we've come to bargain.
 
Unamzungumzia claire hapa mtoto wa dormamu, aisee yule nae mtamu dah kama 4some awepo claire, black widow & Madissyn 😂 si umesema tunaangusha watatu watatu

Then naangusha yelena, hella and kate-bishop 😂

Then naangusha haha.... hizo collabo za hao wanawake wanakumaliza kabla haujawqfanya chochote maana kuna ma assassins na sorcerers
 
Niliangalia episode moja nkaacha ila itabid niiangalie siku nkiwa bored ili iishe tu nisiwe gizan kwa ajili ya upcoming projects

Hapo ndio marvel walipotuweza kutengeneza movie zao na series kuwa kitu kimoja(most expensive tv show)
Kuna utoto mwingi sana🚮
 
😅😅
1662987795082.jpg
 
Hivi kwanini Mr Matt (DareDevil) asipewe ile nafasi kama ya captain, naona kama yeye ndio anafanana nae hivi
 
Hahaha hauna imani na Marvel kwenye series nini, sema hii itakuwa nzuri tu... unakumbuka ile scene ya captain America winter soldier Nick fury anavyokimbia na gari kwahiyo yeah
Best scene ever jumlisha na bridge fighting.

Furry aliuliza AI ya gari, "Now what is Working" akajibiwa "Air conditioning is full operating,"
 
Unamzungumzia claire hapa mtoto wa dormamu, aisee yule nae mtamu dah kama 4some awepo claire, black widow & Madissyn 😂 si umesema tunaangusha watatu watatu

Then naangusha yelena, hella and kate-bishop 😂

Then naangusha haha.... hizo collabo za hao wanawake wanakumaliza kabla haujawqfanya chochote maana kuna ma assassins na sorcerers
Hell! nimeandika bila kujua kwamba mtoto wa dormammu ni clea walimuonyesha kwenye end credit scene ya MOM tena amechezwa na charlize theron. what a coincidence!
Hao wakileta ubishi ni kuwatupa in mirror dimension piga spells za passivity, done. baadae unawasahaulisha kama walivyomsahau peter parker.
 
Nimecheki Trailer ya Secret Invasion, nasema yeah, hii ndio Marvel ninayoikumbuka especially when fury is back again.
Winter Soldier vibes.
 
Best scene ever jumlisha na bridge fighting.

Furry aliuliza AI ya gari, "Now what is Working" akajibiwa "Air conditioning is full operating,"
Halafu lile gari lina flight system si unakumbuka aliomba atolewe off the grid AI ikamjibu flight system is damaged
 
Back
Top Bottom