Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Top gun ina nini cha kuishinda Grayman?Gray man NI garbage ukianza kuifikiria top gun ni Moto mwingine mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Top gun ina nini cha kuishinda Grayman?Gray man NI garbage ukianza kuifikiria top gun ni Moto mwingine mkuu
Hii ni series au singleThe cast is stocked but will they deliver? I hope they do
Charlize Theron
Cate Blanchett
Laurence Fishburne
Ben Kingley
Kerry Washington
Michelle YeohView attachment 2356302
Single movieHii ni series au single
Inahusu marafiki wawili waliojikuta katika pande mbili tofauti, maja ikiwa ni good na nyingine ikiwa ni evil.Hii inahusu nini,
SYNOPSISHii inahusu nini,
Kama umesoma hiyo poster, muvi inatoka 19 October.Ni kali ama
Top gun kwao imeongeza idadi ya military recruits kwao imeonekana ni real dealGray man NI garbage ukianza kuifikiria top gun ni Moto mwingine mkuu
Cate blanchett 🔥 na the accentThe cast is stocked but will they deliver? I hope they do
Charlize Theron
Cate Blanchett
Laurence Fishburne
Ben Kingley
Kerry Washington
Michelle YeohView attachment 2356302
Jamaa analinganisha muvi yenye mission 1 na muvi ambayo ina actions za kutosha plus mission within a mission within a mission..Top gun kwao imeongeza idadi ya military recruits kwao imeonekana ni real deal
Hivi si unafahamu kuwa Top gun ilikuwa ikisubiriwa miaka 30 mpaka ikaonyeshwa, mashabiki wake sio mimi na wewe... wenyewe wanafahamuJamaa analinganisha muvi yenye mission 1 na muvi ambayo ina actions za kutosha plus mission within a mission within a mission..
Grayman ina bright future while Top Gun in dim future.... Imagine hapo tumewaona Sierra Six na Four tuu, inawezekana wapo wengine wa kutosha.
Grayman ipo level moja na Hitman Agent.
Miaka 36....Hivi si unafahamu kuwa Top gun ilikuwa ikisubiriwa miaka 30 mpaka ikaonyeshwa, mashabiki wake sio mimi na wewe... wenyewe wanafahamu
Miaka 36....
Kweli kabisa hadhira yake siyo mimi na wewe, ina watu wake special wale wazalendo wa USA😀
Ila kukaa kwake miaka 36 bila muendelezo ni ishara tosha kwamba ni muvi isiyo na future..
Top gun Maverick ni closure mzee, baada ya success ya hi muvi tegemea sequel nyingi kwa muvi za zamani old meet modernJamaa analinganisha muvi yenye mission 1 na muvi ambayo ina actions za kutosha plus mission within a mission within a mission..
Grayman ina bright future while Top Gun in dim future.... Imagine hapo tumewaona Sierra Six na Four tuu, inawezekana wapo wengine wa kutosha.
Grayman ipo level moja na Hitman Agent.
sequel lazima imepiga ela ndefu maana ni US $B+Top gun Maverick ni closure mzee, baada ya success ya hi muvi tegemea sequel nyingi kwa muvi za zamani old meet modern
I disagree, unafahamu kuwa US Millitary ina kitengo maalumu cha kutoa support ya vifaa vya kijeshi kwa watengenezaji movies ila kuna catch...Mkuu icheki uzuri haina hidden agenda yoyote it's just entertainment
Aah bado sanaaaaa hii episode haikua na kashi kashi nyingi,
Grayman na top gun, kwa mimi zote zipo pouwa.Gray man NI garbage ukianza kuifikiria top gun ni Moto mwingine mkuu