Marvin Gaye: Let's get it on.

Marvin Gaye: Let's get it on.

Ukweli ni kwamba;

Baba ake aliitwa Marvin Gay Sr. A Minister/ Preacher somewhere, but baadae yakamshinda akawa mlevi na choko, anavaa chupi, gauni , mawigi na vibanio vya mke wake.....kifamilia akawa ni mnyanyasaji kwa watoto hasa kwa Marvin mdogo, kazi hataki kufanya, ikabidi maza akomae na uhausi girl kupata mshiko wa kuwalea wanae wanne!

Marvin gay jr alivyokuwa mkubwa akabadilisha hilo jina la mwisho Gay likawa Gaye ili kuondoa dhana ya kipunga, maana kitaa walikuwa wanachekwa na kutaniwa sana!


Sasa since Marvin gay jr anazaliwa baba ake hakumpenda akisema maza kacheza faulo, so kakua bado baba hampendi jr...alivyotoboa kimuziki mshua hakupenda akawa na wivu balaa, sasa huyo mzee ni mlevi halafu punga, akawa anapenda kumpa kichapo maza wao, siku ya siku karatasi ya bima ikapotea ndani, kama kawaida Sr akafoka kwa maza yao na anataka kumpiga!....ndio Jr akampa kisago kikali!

Mzee kuona mwanae kamdhalilisha akaenda chumbani akaja na bastola kaificha, akamfyatulia risasi kadhaa....jamaa akaimbiwa pambio!

So Marvin gaye alikuwa mtu wa mademu kinoma, japo ameacha mtoto mmoja, mbaba sasa hivi anaitwa Marvin Gaye III, watu kinachowanganya ni majina kufanana....but mshua ndo alikuwa Amber Marvin

Sent using Jamii Forums mobile app
Umewasaidia watu wengi ambao bado wanaamini hadithi za uongo kua Marve alikua shoga.

Marve hajawahi kua shoga. Aliwahi kusema ngono ni kama hitaji lake la pili kwa umuhimu, Marvin anasema Love is misery but sex is wonderful, marvelous, sex is sweet.

Nami nakubaliana na Marvin kua love is miserable, but sex is wonderful.
 
Back
Top Bottom