Marwa Ryoba Chacha: Wenje ni muongo sana, haka kajamaa ni kaongo mno

Marwa Ryoba Chacha: Wenje ni muongo sana, haka kajamaa ni kaongo mno

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
Aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA katika Bunge la 11 ( 2015-2020) Mhe Marwa Ryoba Chacha amesema Ezekiah Wenje ni kiongozi muongo muongo sana.

Michango yao kama wabunge kwenda kwenye chama ilikatwa moja kwa moja ( automatically) toka kwenye Mishahara yao na wao waliingiziwa bakaa tu kwenye akaunti zao ikiwa ni baada ya makato ya Chama.

IMG-20250101-WA0201.jpg


View: https://www.facebook.com/marwa.ryoba.3/videos/972331468285951/
 
Abdul: Kitenge, fanyeni kipindi na Wenje ili asafishe hali ya hewa

Kitenge: Sawa sawa Kiongozi usijali ni mapema kesho.

Nb: Vipi, Wenje kasafisha hiyo hali ya hewa?
 
huyu jamaa hata ukimwangalia usoni anavyoongea unajuwa wazi kwamba mwongo maridhawa....sijui alifundishaje wanafunzi
 
😁😁😁😁😁😁 Ukimya unaficha mambo mengi
 
Ukiangalia Kwa makini utagundua Wenje anamuharibia Mbowe Kwa makusudi Kabisa

Kwa mfano hizo tsh 250milioni alizotoa Mbowe Kwa chama Ukienda kwenye sheria ya Takukuru ni Rushwa
 
Back
Top Bottom