Aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA katika Bunge la 11 ( 2015-2020) Mhe Marwa Ryoba Chacha amesema Ezekiah Wenje ni kiongozi muongo muongo sana.
Michango yao kama wabunge kwenda kwenye chama ilikatwa moja kwa moja ( automatically) toka kwenye Mishahara yao na wao waliingiziwa bakaa tu kwenye akaunti zao ikiwa ni baada ya makato ya Chama.