Marxism–Leninism

Haya maandishi ni matamu sana...hawa watu walilenga kuleta usawa katika jamii, unfortunately equality is not an element of nature...napenda sana history, it seems that our future lie within out past.
Yap and capitalism brings competition which leads into more profit. Collectiveness can attract lazy affairs.
 
KWA SASA NCHI ZETU ZA KIAFRIKA ZINAHITAJI ZAIDI CISTOMIZED MARXISM rather than capitalism......... Africa bado
 
KWA SASA NCHI ZETU ZA KIAFRIKA ZINAHITAJI ZAIDI CISTOMIZED MARXISM rather than capitalism......... Africa bado
Kwakweli wachache walikuwa walafi, hata hivyo zamani ukifuata siasa hizi kulikua na back up kutoka Urusi, sasa kama mwanzilishi ameanchana nao support itoke wapi?
 
Hili la kuelezwa juu ya uchumi wa nchi na mipango ya serikali linatokea kwenye kampeni tu tena tunapewa ahadi. Kumbe haki yetu kuwa na habari mpya kuhusu maendeleo yetu.
 
 
Ujamaa ulishindwa afrika kwa sababu ya russia kusambaratika na hatimaye , kuruhusiwa kwa vyama vingi hapa nchini na kuingia bwana ruksa (MWINYI)
 
Ujamaa ulishindwa afrika kwa sababu ya russia kusambaratika na hatimaye , kuruhusiwa kwa vyama vingi hapa nchini na kuingia bwana ruksa (MWINYI)
Cuba ambako ujamaa bado unaendelea walichofanikiwa ni kuwa na high level of literacy wanasema katika kila watu 10 mmoja ni daktari lakini hakuna ajira.
 
Cuba ambako ujamaa bado unaendelea walichofanikiwa ni kuwa na high level of literacy wanasema katika kila watu 10 mmoja ni daktari lakini hakuna ajira.
mkuu ujamaa kwa mara ya mwisho ilikuwa practiced israel kijiji kimoja karibu na jangwa na negev,
Watu walikuwa wanashare kila kitu na walikuwa hadi wanakula sehemu moja. Cha ajabu baada ya analysis ujamaa umeonekeana kuleta uvuvi. Maana unauhakika wa kula hata kama haujajishughulisha ua umetegea. Mara ya mwisho hicho kijiji waliishia kuishi kwa misaada kutokana na hali ngumu. Hadi leo hakuna huo mchezo.
Lazima huo ujamaa uwe reconstructed umeet deman ya eneo husika, Ndio maana china walikuja na "Socialism in chinese style"
 

Naona CCM wanajaribu kuwaiga wachina
 
Naona CCM wanajaribu kuwaiga wachina
Hili litakuwakosa kubwa sana. Inapaswa sio tu kuiga kufanya analysis za kutosha kujua nini na mfumo hupi utatutoa hapa. Unaweza kuja na mfumo separate ambao ni mixture hata ya ujamaa na Ubepari. Tanzanian version. Ndio maana hata North Korean wana JUCHA hii ni MAXISM- Leninism version ya Wakorea kaskazini ambayo inawork kwao.
 
Hicho kijiji kinaitwa Kibbutz, watoto walilelewa kwenye nyumba moja na baada ya kujifungua wakina mama wanatakiwa waende kazini baada ya kama mwezi mmoja.
 
Hicho kijiji kinaitwa Kibbutz, watoto walilelewa kwenye nyumba moja na baada ya kujifungua wakina mama wanatakiwa waende kazini baada ya kama mwezi mmoja.
Yees, hapo hapo kubutz, tena founder of modern Israel alikwa wa kwanza kuweka makazi huko panaitwa KIBBUTZ SDE BOKER. Hapa ndio mfano dhahili kuwa ujamaa sio practical. na ndio wajamaa purely wa mwisho duniani kuwepo na walikuwa na sheria ngumu sana. Matokeo ya kuachana na huo mfumo ni kuwa hapo ndio kitovu cha uvumbumzi mwingi wa agritech na ubunifu wa kilimo. watu wengi wanatembelea kibbuz kuona jinsi inavyowezekana kulima jangwani.
 

Sijui umepiata wapi hii lakini iko shallow sana. Ukitaka kuijua Marxism-Leninism sawasawa, inabidi usome mambo haya ambayo yote yalianzia Ujerumani:

(1) Hegelian Philosophy ya Hegel
(2) Classical Marxism ya Marx
(3) The Communist Manifesto ya Marx na Engels

Hegelian Philosophy ilikuwa proposed na mjerumani Georg Friedrich Hegel ambayo ililenga zaidi maana ya uhuru (Liberty). Classical Marxism ilikuwa proposed na mjerumani mwingine, Karl Marx akisema kuwa maisha ya jamii ni mfululizo wa mapambano baina ya watawala (bourgeoisie) na watawaliwaji (the proletariat). Mapambano hayo yakikomaa yanaifikisha jamii kwenye Ujamaa (Socialism). Baadaye sana Marx akishirikiana na mjerumani mwingine Friedrich Engels walieendeleza ile Classical Marxism kuwa the Communist Manifesto. Mtililiko huo wa mawazo uliingiza vitu vingi sana kama vile Dielectical Materialism, Surplus Value, Base and Superstructure na mengineyo mengi tu. Miaka kama mitano iliyopita tuliwahi kuwa na mjadala mrefu hapa Jamii forum wa kuhusu theories za Karl Marx. Ukisearch utaweza kuipata thread hiyo.

Vladimir Lennin alichofanya ni kuadapt ile Communist Manifesto ya Marx na Engles na kuifanya kuwa dira ya Urusi kwa mara ya kwanza.
 
Asante mkuu sasa nimeelewa the beggining of Napoleon Code.
 
Asante mkuu sasa nimeelewa the beggining of Napoleon Code.
Uhusiano baina ya Napoleon Code na Marxism-Leninism ni mdogo sana. Napoleonic code ilikuwa ni mfumo wa sheria za dola huko Ufaransa, wakati Marxism-Leninism ulikuwa ni mfumo wa maisha ya jamii huko Urusi ukiwa umehasisiwa Ujerumani. Zinakutana tu katika ile nadharia ya Base and Superstructure ya Marx na Engels. Hata hivyo katika historical timelines, zilikuwa na ukinzani kidogo kwa vile Napoleone Code ilikuwa upande wa bourgeoisie wakati Marxism-Leninism ilikuwa upande wa proletariat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…