Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #41
Uhusiano baina ya Napoleon Code na Marxism-Leninism ni mdogo sana. Napoleonic code ilikuwa ni mfumo wa sheria za dola huko Ufaransa, wakati Marxism-Leninism ulikuwa ni mfumo wa maisha ya jamii huko Urusi ukiwa umehasisiwa Ujerumani. Zinakutana tu katika ile nadharia ya Base and Superstructure ya Marx na Engels. Hata hivyo katika historical timelines, zilikuwa na ukinzani kidogo kwa vile Napoleone Code ilikuwa upande wa bourgeoisie wakati Marxism-Leninism ilikuwa upande wa proletariat.
Asante sana, nilisoma pia The Army during Roman Empire, wale ndiyo walianzisha penshin. Wanajeshi walilipwa shiling 5 kwa mwezi lakini shilingi moja ilikwenda kwenye pensheni. Waliwenza kumudu maisha vizuti tu baada ya kustaafu.