PreGE2025 Mary Chatanda: Akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu Mary Chatanda amesema kuwa akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura huku akiwasisitiza wanawake kumchagua Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao.

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda ameyasema hayo wakati akiwa ni mgeni katika tukio la Iftar ambalo limekutanisha Wanawake wa Shoka mbalimbali SuperDome Masaki Jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?

Katika hatua nyingine Wafanyabiashara marafiki wa Samia wamemchangia Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Milioni 700 kwa ajili kumpa ushirikiano kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
 
Bora akafunga huo mdomo si kwa trash aliotoa
 
Shida kubwa nchi hii watu hasa viongozi wame-overvalue mno tumbo.

Kwa hiyo uchaguzi siyo suala la nani anafaa bali ni suala la kuangalia jinsia!

Halafu huyu eti ni kiongozi ngazi ya taifa!
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu Mary Chatanda amesema kuwa akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura huku akiwasisitiza wanawake kumchagua Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao.

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda ameyasema hayo wakati akiwa ni mgeni katika tukio la Iftar ambalo limekutanisha Wanawake wa Shoka mbalimbali SuperDome Masaki Jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?

Katika hatua nyingine Wafanyabiashara marafiki wa Samia wamemchangia Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Milioni 700 kwa ajili kumpa ushirikiano kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Huyo Chatanda anaamini kuwa watanzania wote hawana akili kama yeye!!
 
Kauli ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, inaonyesha ubaguzi wa kijinsia na inakosea kuelewa thamani ya ushirikishwaji wa wote katika siasa.

Ni muhimu kukumbuka kuwa uchaguzi unapaswa kuwa msingi wa uwezo na sera, sio jinsia.

Kumpuuza mwanaume anayeweza kuwa na maono na mikakati bora kwa ajili ya nchi ni kukosea na kudharau mchango wa wanaume katika jamii.

Pia, kauli hii inadhihirisha ukosefu wa elimu kuhusu umuhimu wa uchaguzi wa kidemokrasia, ambapo kila mtu anapaswa kuwa na haki sawa ya kugombea na kuchaguliwa bila kujali jinsia.

Ufisadi wa mawazo kama haya unadhihirisha jinsi gani tunahitaji kujenga mazingira ya usawa na kuheshimiana katika siasa.

Ni wakati wa wote, wanawake na wanaume, kushirikiana kwa pamoja katika kuleta mabadiliko chanya katika nchi yetu.
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu Mary Chatanda amesema kuwa akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura huku akiwasisitiza wanawake kumchagua Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao.

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda ameyasema hayo wakati akiwa ni mgeni katika tukio la Iftar ambalo limekutanisha Wanawake wa Shoka mbalimbali SuperDome Masaki Jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?

Katika hatua nyingine Wafanyabiashara marafiki wa Samia wamemchangia Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Milioni 700 kwa ajili kumpa ushirikiano kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Aisee wanaume kazi tunayo
 
Aisee wanaume kazi tunayo
Namibia nao, ninaona wamejichanganya kwenye matope kama sisi😳

Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah
 
Attachments

  • IMG_1230.jpeg
    IMG_1230.jpeg
    541.2 KB · Views: 31
Back
Top Bottom