ni mtazamo potofu wa kiwango cha chini ya kufikiri gentleman
gentleman,π
Hapa Tanzania mama samia hana shida kabisa, Mama mmoja mzungu sana,
Ila watu wanaomzunguka wanataka kumpigisha shot ili lawama zote ziende kwake
Hata yeye chatanda angekuwa Rais asingefuta chadema
Ila sasa anataka mwenzake afute ili lawama ziende kwake waseme hapendi upinzani π
Punguani hii anafikiri nchi ya mamaake.........Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.
Kwani na ye hana akili achague watu wanaofaaa.......Ndege wafananao.......Hawa ndio wanafanya watanzania wamchukie Rais Samia, kuongoza nchi kwa zama hizi inahitaji hekima ya mfalme Suleiman, SIYO mabavu
Na ukiwa kiongozi ujue huwezi pendwa na kila mtu hata ungewapa pesa bado watakuchukia,
Samia anaoneka rais mbaya ktk historia ya Tanzania kwa sababu ya ushauri wa Viongozi kama huyu mama
Majinga mengi sana huko CCM
Ukiwafuatilia kwa karibu hao kina Chatanda na machawa wa ccm; majibu ni yale yale: Ujinga, Umaskini na maradhi!Ivii kwani ADUI WA TAIFA LETU NI NANI? si tuliaminishwa kua ni UJINGA, UMASKINI NA MARADHI. WTF kuwaza adui wa taifa ni CDM?
NB. Nasikiaga mwanamke asipo kua anakojozwa vizuri anakua na tabia za chuki, visasi, visirani, wivu, hasira na magomviiπ€
Masikitiko makubwa ndugu yanguUkiwafuatilia kwa karibu hao kina Chatanda na machawa wa ccm; majibu ni yale yale: Ujinga, Umaskini na maradhi!
Yaani wamefikia hatua wanata urais kwa short cuts bila ridhaa ya wapigakura!
ni mary chatanda au mary chawote ? watu wengine ni wa hovyo sana. sijui huwa wanapataje uongoziMwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.
Mama Chatanda asisubiri kuachiwa nchi, agombanie urais kupitia CCM.Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.
duuh π !Hivi CCM haina watu kabisa wenye uwezo wa akili, hata kuwapa uongozi watu wa namna hii?
gentleman,
nadhani chadema ina haki na na inastahili kuchukuliwa hatua za kishria ikiwa ni pamoja na kufutwa kwa kukiuka sheria za nchi waziwazi na kwa makusudi.
nadhani hii ndio point ya msingi zaidi ya porojo zingine jukwaani
gentleman,Kama kwa kukiuka sheria then hakuna taasisi itakuwa active
Coz zote zinakiuka sheria,
Nashangaa mko busy na chadema tu, why hamsemi police ifutwe?
Au ujamsikia mama mjane alivyochukuliwa milion 12 kasema mbele ya waziri mkuu...
Tukisema tufate sheria then hata hapa jf hatutokuwepo
li Mshangazi lenye mdomo unaonuka maviMwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.
Hicho ndicho hawataki mkuu!CHADEMA ni Watanzania kama wewe, hawana baya nao wanataka kufaidi kipande cha keki ya Taifa kama Nyinyi, na sio jambo baya kwa kuwa wao kama Watanzania wanayo haki hiyo.