Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Mary Pius Chatanda, ameipongeza Halmashauri Kuu ya CCM kwa uamuzi wa kumfukuza Balozi Emmanuel Nchimbi kutoka katika Chama hicho.
Naupongeza nawapongeza wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM ya taifa chini ya mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mheshimiwa Dr. Samia Suluhu Hassan kwa maamuzi yaliyofikiwa ya kumfuta wanachama aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi ndugu Emmanuel John Nchimbi kutokana na makosa ya kimaadili na kinidhamu yanayokiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama chetu."
Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM