Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii clip nlionaga muda sana,na hajasema kwanini ya yeye kutishiwa/sababu hajaweka wazi
Inawezekana naye labda kadhulumu
Ova
Hii clip nlionaga muda sana,na hajasema kwanini ya yeye kutishiwa/sababu hajaweka wazi
Inawezekana naye labda kadhulumu
Ova
Ina maana yote haya hadi mauaji sabb ni fine ya 15mil duhMARY Mollel; mkazi na Mfanyabiashara wa Mkoa wa Arusha, Amuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupata uhuru wake ,ndani ya miaka 3 anaishi kwa kujificha.
Yaani ndugu umeshindwa kusoma viambatanisho?Sababu ya kutishiwa maisha yeye na familia yake ni nini?
Ova
Mkurugenzi wa Kismaty Advert Media Company Ltd, Bi Mary Mollel, mfanyabiashara kutoka mkoa wa Arusha, amekimbilia Umoja wa Mataifa kuomba msaada kutokana na hofu ya usalama wake na wa familia yake. Bi Mollel anadai kuwa tangu mwaka 2022 amekuwa akipokea vitisho mbalimbali, hali iliyosababisha ndugu zake wawili kuuawa kikatili mwaka uliofuata, mara tu baada ya kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha.
Amesema kuwa licha ya kuomba msaada, bado hajakata tamaa, ingawa anaamini uongozi wa juu huenda haujui kuhusu hali yake kutokana na baadhi ya viongozi wanaodaiwa kuhusika katika uhalifu huo kuzuia upatikanaji wa msaada. Katika barua yake ya awali kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Bi Mollel aliweza kufafanua chanzo cha matatizo yanayomfanya aishi kwa kujificha kwa zaidi ya miaka mitatu.
Aidha, kwenye barua hiyo, aliwataja baadhi ya viongozi pamoja na msanii Marioo na uongozi wake, ambao walifungua kesi ya madai dhidi yake, hali iliyomlazimu kuishi kwa tahadhari kubwa.View attachment 3150968View attachment 3150969View attachment 3150970View attachment 3150971
Wanawake hawa,mario si mtu wa kumfata tu na kumwambia aongoze kituoni.
Hapo kakopwa anaenda kuandika statement kuubwa.
Ukiachwa achika.