Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri.
Mwanjelwa amesema hayo wakati wa mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika wilaya ya Kyela jijini Mbeya ambapo amesema
"Mikopo ya asilimia 10 ilitoka, lakini kupitia serikali ya Rais Samia mikopo hiyo imerejeshwa akina mama, vijana na watu wenye ulemavu wananufaika nayo"