Subirini na harusi ili muongee vizuri zaidi. Jamani mhh!
Labda anafanya kazi Ikulu!
...........Shosty hii avatar ya kininja kulikoni?
Shosti... we acha tu!
Hakuna cha ajabu JK kuhudhuria send off ya Marylin. Kwani nyie mlimwalika kwenye sherehe zenu akakataa kuhudhuria? ( Baba yake Marylin anafanya kazi ikulu kama mnataka kujua connection)....
Woman Of Substance,hiyo avatar yako ndio imemaanisha jina lako haswaa.Looks so nice :A S-rose: to me
u need not be sorry kaka.Au ndio maandalizi ya ugombeaji wa ubunge haya? If so..then it looks like you are ready to kick some butt...lol.....I'm sorry for being facetious....
Mashiba ninayemfahamu alikuwa senior katika "Operations" Ikulu aki front kama bodyguard tangu enzi za Nyerere enzi zile idara ile haijapitishwa kisheria, kama huyu bibie ana uhusiano huu labda wanajuana na Kikwete tangu Kikwete hajawa rais .
Sioni tatizo Kikwete kuhudhuria shughuli za ndugu, jamaa na marafiki zake.
AND just for thee information,ni mtoto wa huyu bodyguard extraordinare,aliyempeleka TID jela
Could be a typing error
Mashiba (in Army Ranks is Lt Col) he is bodyguard extraordinare:
...........Shosty hii avatar ya kininja kulikoni?
Angalia usije ukawa unachanganya bodyguard na ADC(Yule mwanajeshi msaidizi wa Rais ambaye ni Lt.Col)
Aide-de-Camp OR bodyguard or any SSB Operatives wanakuwa RANKED kufuata utaratibu wa kijeshi: The difference is how the PUBLIC perceive them and the role they play around Mkuu wa Kaya