Marylin Mashiba

Marylin Mashiba

mhe. rais mimi phd nategemea kuoa mwezi wa kumi huko ngarawani kata ya manchira wilaya ya serengeti, mkoa wa mara naomba uhudhurie kama ilivyo kawaida yako nitafurahi sana na michuzi akipiga picha na kuziweka kwenye jamvi lake pia.naamini rais ni wetu wote so ili kutenda haki naomba uhudhurie bila kukosa vinginevyo nitalishawishi bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na wewe.
 
Labda anafanya kazi Ikulu!

Mashiba ninayemfahamu alikuwa senior katika "Operations" Ikulu aki front kama bodyguard tangu enzi za Nyerere enzi zile idara ile haijapitishwa kisheria, kama huyu bibie ana uhusiano huu labda wanajuana na Kikwete tangu Kikwete hajawa rais .
Sioni tatizo Kikwete kuhudhuria shughuli za ndugu, jamaa na marafiki zake.
 
Baada ya kusoma post za juu zaidi, nimeshangaa kuona Mashiba yuko Ikulu bado all these years?

Can somebody clarify yaani jamaa amekuwa pale under Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete sasa?

Au alitolewa na sasa karudi? Kama kakaa miaka yote that is incredible.
 

Woman Of Substance,hiyo avatar yako ndio imemaanisha jina lako haswaa.Looks so nice :A S-rose: to me
 
Hakuna cha ajabu JK kuhudhuria send off ya Marylin. Kwani nyie mlimwalika kwenye sherehe zenu akakataa kuhudhuria? ( Baba yake Marylin anafanya kazi ikulu kama mnataka kujua connection)....


Watu wa system wanamjua huyu Machiba!Ni kati ya walinzi wa viongozi wa serikali!Nafikiri anapeta na safari za hawa vilaza wetu kila wanaposafiri.
Kufanya send off ukumbini hapo ,sio hela kidogo.

Ndio tatizo la ujiko wa elites wa TANZANIA.
 
Mashiba ninayemfahamu alikuwa senior katika "Operations" Ikulu aki front kama bodyguard tangu enzi za Nyerere enzi zile idara ile haijapitishwa kisheria, kama huyu bibie ana uhusiano huu labda wanajuana na Kikwete tangu Kikwete hajawa rais .
Sioni tatizo Kikwete kuhudhuria shughuli za ndugu, jamaa na marafiki zake.


Katika picha hizo jamaa ametambua MACHIBA bodyguard!
Ndio tatizo la serikali ya Kikwete,mtu huyu ni nyeti,hatakiwi kuwa wazi kiasi hichi na kujipamba kwenye blogu ya kifisadi ya Michuzi.

Nyerere asingeruhusu huu usasa wa mashushushu,wala hata asingehudhuria hii send off.Ni waste of space
 
Nimependa jinsi walivyo na furaha za kweli toka rohoni
Kikwete atakuwa anaipenda sana hii familia jinsi alivyo relax.

ila kwenu huonagi mzee wako akipenda familia fulani zadi ya wengine

kuleni raha mschana mdogo na amependezaaaaaa

n.b. acheni kuvaa nguo za kufanana na wanaowasimamia jamani maana msimamizi nmependa style yake zaidi
 
AND just for thee information,ni mtoto wa huyu bodyguard extraordinare,aliyempeleka TID jela
 
Could be a typing error

Mashiba (in Army Ranks is Lt Col) he is bodyguard extraordinare:

Angalia usije ukawa unachanganya bodyguard na ADC(Yule mwanajeshi msaidizi wa Rais ambaye ni Lt.Col)
 
Whao!..Send-off nzuri ila badala ya kuwa siku ya Marylin ikawa ya JK kwa jinsi alivyopaishwa wakati ni mhudhuriaji tu au ndo mambo ya itifaki?!..
Sioni tatizo kabisa uwepo wa JK, infakt naolewa karibuni na ningependa kumualika JK!! I hope atakubali kujumuika nami!..
 
mi nafikiri watu wa usalama hawatakiwi kujulikanespecialy their families, tunaelekea kubaya sana WENGI WANAJULIKANA, sio sifa hii ni HATARI
 
...........Shosty hii avatar ya kininja kulikoni?

...Dah, Umeniwahi! Mi nilitaka kumuuliza anataka kwenda kujitoa mhanga wapi tukae mkao wa standby!!

:biggrin1: :biggrin1: :biggrin1:
 
Angalia usije ukawa unachanganya bodyguard na ADC(Yule mwanajeshi msaidizi wa Rais ambaye ni Lt.Col)

Aide-de-Camp OR bodyguard or any SSB Operatives wanakuwa RANKED kufuata utaratibu wa kijeshi: The difference is how the PUBLIC perceive them and the role they play around Mkuu wa Kaya
 
Aide-de-Camp OR bodyguard or any SSB Operatives wanakuwa RANKED kufuata utaratibu wa kijeshi: The difference is how the PUBLIC perceive them and the role they play around Mkuu wa Kaya

Nimekusoma mkuu...Mi nilidhani Aide-de-camp(Camp Assistant) ni mwanajeshi ambaye ni Lt Col ni personal assistant wa Mkuu wa Kaya(anafanya kazi kama kubeba mikoba ya mkuu wa kaya n.k)......

Pia nilijua Body guards wao wanatoka Kitengo cha ulinzi wa viongozi(kama ilivyo Secret Service kwa US)..

Pamoja
 
Back
Top Bottom