Masaa 24 kwa siku hayatoshi. Je, tukiamua siku iwe na masaa 28 nini kitatokea?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua.

Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24 hayatoshi kabisa!
 
Kwa kuwa wewe umeona masaa 24 hayatoshi, anzisha utaratibu wako wa masaa 28 hamna Shida

SIsi tuachie masaa yetu 24 kwetu yanatosha.
 
Hayatoshi kufanya nini?
 
Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua.

Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24 hayatoshi kabisa!
Unapenda kujitesa weweee
 
Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua.

Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24 hayatoshi kabisa!
Siku inayofuata itakuwa na masaa 20 tu!
 
Masaa 28 pia hayatokutosha
 
Wewe Kazi zako unazofanya ndo time limit hivyo haitokusaidia chochote kuwa na masaa 28.

Mfano watu wa bank wanafanya kazi masaa yote kupitia mihamala yao

The same Voda , airtel .n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…