Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

😆😆😆 anategesha ulezi vibaya. Halafu analaumu kwa nini ndege wanakula.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aaah wamezidi tatizo maneno mengi vitendo kiduchu tumeni lunch vocha na dinner km mtaona hizi kelele au hayo makofuli, maana makofuli nayo yanafanya watu tupishane na magari ya mshahara
 
Mshangazi funga pm wanaokutafuta ni vijana wa ovyo ,hakuna mtu timamu atakae tafuta I'd yenye utambulisho wa mshangazi hata kama kweli tunawapenda mashangazi 😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…