Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ila wadau mna moyo, mnatongoza fake ID๐Mshangazi hata avatar yake haivutii, binafsi siwezi mfuata kamwe๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wadau mna moyo, mnatongoza fake ID๐Mshangazi hata avatar yake haivutii, binafsi siwezi mfuata kamwe๐ ๐ ๐
mshamba_hachekwi hawezi tongoza kurubambe kama hilo la niniKwenye hio list mshamba_hachekwi hayupo kweli? Anapenda mishangazi huyo.
Maweed....Weka ushahidi apa nani akutongoze wewe Acha kujikweza,gundu limekujaa et vivulana kwanza humu hakuna wavulana
Mkuu sina cha kuongeza , ukisema wewe kuhusu mishangazi hakuna mjadala tena๐Sizani kama anajiamini...
Na yote haya kwa kuwa hana zile T tatu tatu...
Yaani Tako,Titi na Tumbo...
Hivo kiufupi ni local antiel ambaye anataka vijana wamfate serious sasa ๐๐๐๐๐๐๐๐
Kabisa mkuuWeka ushahidi apa nani akutongoze wewe Acha kujikweza,gundu limekujaa et vivulana!!!!! kwanza humu hakuna wavulana
Bila kuchoka mkuuMaweed....
Majaniii
๐๐๐๐๐จ๐ฆ๐จ๐ฆ๐จ๐ฆ๐
ID yako ya zamani ni ipi?Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
๐๐๐๐๐ Nikisema ni kama muswada kasoro saini ya rais tuuMkuu sina cha kuongeza , ukisema wewe kuhusu mishangazi hakuna mjadala tena๐
๐ ๐ ๐Mkuu kwani upweke ni nini?
Wewe ndio raisi wa mashangazi humu๐ ๐๐๐๐๐๐ Nikisema ni kama muswada kasoro saini ya rais tuu
Kwa anonymity Ids shangazi unatukosea sana adabu kwa kusema uongo.Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Glass ๐ท MPYA mvinyo wa zamani au mvinyo MPYA glass ya zamaniNi kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ kumeanza kuchangamka
๐คฃ๐คฃMkuu kwani upweke ni nini?
Kabisa๐Nzuri kabisa mkuu
Uko poaaa?๐
Toto zuri la kikurya.Wala sina uhanga wowote, watu hutoa shuhuda zao humu, mnawaibukia PM na huwa mnawaomba hela wadada humu, mnakuja kuanikana hapahapa.