Masaa 48, Mlima Kilimanjaro bado ukiwa unateketea

Masaa 48, Mlima Kilimanjaro bado ukiwa unateketea

Mbinu inaitwa Destabilise the economy and armed forces to weaken Meko and his subordinates!!!!!JIWE PELEKA JESHI NA MABOMU YA MACHOZI UKAPIGE MOTO MAANA HUO MOTO NI CHADEMA HUO!!!
 
But haitakuwa sawa na ile halisi na wa awali, ukikuta mti uliodumu eneo husika kwa miaka mingi nyuma na ukaja kupanda mti kumbuka kuna utofauti hapo.
👇

Ninachofahamu mimi, huo moto ukizimika, hio ardhi itakuwa na mbolea safi sana na mimea itachipua vilivyo
☝️
Moto ukizima watalii watakuja kwa wingi kutoa rambi rambi kwa kivutio icho, ukishazima zifanyike juhudi kuutangaza mlima na wahamasishe wazungu waje kupanda miti kwa kulipia kuhakiksha nao wanakua katka sehemu ya #Nature_recover or #getwell_soon our nature,
 
Mvua za mwisho wa mwaka zipo karibu hivyo sehemu iliyoteketea mvua zikianza pataota tena.
Unafikiri ni jambo la kulala na kuamka tu miti iliyochukua zaidi ya miaka kukua. Bado wanyama kama ndege na wadudu waliojitengezea makazi yao. Unaonekana kipindi unasoma Geography hukuielewa vizuri.
 
Nadhani wengi sasa wataunga mkono hoja ya kuwa na hifadhi za kutosha katika taifa letu. Wengi walibeza zìlipoanzishwa mbuga nyingine baada ya mapoli kadhaa kupandishwa hadhi.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
watu wanazima moto kwa mateke na fimbo unategemea nini chief?
Moto unazimwa kwa mateke!
432890.jpg
 
Unafikiri ni jambo la kulala na kuamka tu miti iliyochukua zaidi ya miaka kukua. Bado wanyama kama ndege na wadudu waliojitengezea makazi yao. Unaonekana kipindi unasoma Geography hukuielewa vizuri.
Kwani kakubishia? Yeye katoa facts, take it as it is.
 
Unafikiri ni jambo la kulala na kuamka tu miti iliyochukua zaidi ya miaka kukua. Bado wanyama kama ndege na wadudu waliojitengezea makazi yao. Unaonekana kipindi unasoma Geography hukuielewa vizuri.
Cha muhimu ni kwamba uoto ulioteketea utaota tena, hata kama ichukue karne nzima.

Hata kule hifadhi ya Serengeti moto hutokea sana (muda mwingine huwashwa makusudi) karibu na msimu wa mvua ili kusafisha ardhi, mvua zinapoanza majani (uoto) huota vizuri sana na hurudisha ukijani mzuri wa kupendeza na wanyama huzaliana kwa wingi kipindi hicho.
 
Hivi mlima si unaingiza billions Kwa mwaka?
Wameshindwa kununua helicopter Za Zima Moto Tangu kuanzishwa kwa hifadhi ?
Kwa Nini huwa hatujiandai kwa majanga?
Mpaka yatukie ndo tushtuke?

Serikali ya majimbo itatatua changamoto Kama hizi ova.
 
Cha muhimu ni kwamba uoto ulioteketea utaota tena, hata kama ichukue karne nzima.

Hata kule hifadhi ya Serengeti moto hutokea sana (muda mwingine huwashwa makusudi) karibu na msimu wa mvua ili kusafisha ardhi, mvua zinapoanza majani (uoto) huota vizuri sana na hurudisha ukijani mzuri wa kupendeza na wanyama huzaliana kwa wingi kipindi hicho.
Kwa mawazo yako hata hizo juhudi za kuuzima moto inabidi wasitishe, Embu fatilia ujue ni madhara gani yameletwa na huo moto alafu uje hapa tujadili
 
Africa! Wenzetu juzi hapo kenya moto kama huu uliwaka na kuunguza hekari za misitu mimi nikajua Kuna somo tumelipata kumbe hola,utashanga hata kivuko kingine kinazama watu wanapoteza maisha kwa namna ile ile inayohirudia rudia,Africa kwa kupuuza vitu bna,ni korona tu ndo tumeipuuza ikasepa
 
Back
Top Bottom