Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Ni almost 72hrs now, hakuna hata hoja yoyote ile imejibiwa genuinely na CHAWA yoyote Yule wa CCM, leave alone police.
Usalama wote wamekenua meno kisirisiri kwa kupata msemaji wao, kawasemea kwa ufasaha.
Kila aliyejaribu kumjibu Gwajima ameishia kumshambulia personally na sio hoja zake Hadi nikamkumbuka Marehemu Mzee Msuya kuwa CCM Wana uwezo Mdogo WA kujibu hoja compared to pro CHADEMA.
So far ni Mwijaku (Mzee wa hips), Mwanakijiji Msemaji wa CCM Songwe, The outcast DC Muro, Msukuma na sijui Lucas kama anatambulika, Steve Mengele na wachache.
Wote hawa hakuna mwenye ahueni, wote wanaongea ili Tu wapate vyeo ila deep down wanajua ni wepesi Sana.
Walitegemea Simba uchukue UBINGWA ili Hoja ya Gwajiboy ifunikwe but MUNGU Fundi katupa kilicho Bora zaidi.
Nimeona clips Tiktok za matusi dhidi ya Gwajima but sidhani kumtukana inasaidia.
Yeye amesema anasubiri MTU Mmoja Tu akomenti ndio atarudi tena na sio hizi nyenyere nyingine. CCM Hakuna migogoro, migogoro iko CHADEMA hahahhahahaha