mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,585
- 2,049
Sizani mkuu!hauna ujinga.kama yupo nyuma ya nondo yuda..atakuwa anajinyonga sasa hivi..!Nitarejea mkuu, wala usjali.
Hili litakua fundisho na darasa kwa wanaoitwa wajinga kama mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizani mkuu!hauna ujinga.kama yupo nyuma ya nondo yuda..atakuwa anajinyonga sasa hivi..!Nitarejea mkuu, wala usjali.
Hili litakua fundisho na darasa kwa wanaoitwa wajinga kama mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sizani mkuu!hauna ujinga.kama yupo nyuma ya nondo yuda..atakuwa anajinyonga sasa hivi..!
Kweli wewe ndio masiah![emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ujee utuchukue watakatifu wako sababu tunaesabika na binadamu wamevurugwa na magu![emoji125] [emoji125]Nakaribia kurejea tena....[emoji13] [emoji13]
Yuda alisaliti siku ya alhamisiMasaa kama haya ndio yuda alikua anangojea message ya M-pesa...[emoji39] [emoji39] View attachment 496111
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu...
Huku kwetu shamba leo ndio Thursday
Miss hii avatar itafanya watu wawe wanaiangalia huku wanakunywa bia.nakuja pm
Njoo J2 kutakuwa na pilau ya kuku wa kienyeji, matango na kachumbari unashushia na soda ya baridi.Nakuona nakuona......[emoji102]
By da way.....
Kesho nakuja kwa mtogole kuku sabahi[emoji5] [emoji5]
Nitarejea mkuu, wala usjali.
Hili litakua fundisho na darasa kwa wanaoitwa wajinga kama mimi