tena chuki za waz wazi kbs.Mange ana chuki na Diamond tokea enzi.
Sema [HASHTAG]#MangeKasema[/HASHTAG] kafunga ukurasa ila sio Ali Kiba.Kiba kashafunga kurasa si shindaneni wenyewe kwa wenyewe si mpo saba?mgawane tu 3.5,3.5 muendelee kujidanganya na kujifariji aisee
Ali kafunga kurasa tangu ijumaa dkk 2 tu baada ya kuachia ngoma na ngoma bado inayoyoma,mpo saba jigaweni mshindane wenyewe jombaSema [HASHTAG]#MangeKasema[/HASHTAG] kafunga ukurasa ila sio Ali Kiba.
kaka mambo vipi mimi now naona seduce me ina views 2.7m and number 1 on trending Tanzania na kenya pia wcb zilipendwa una views 1.8 jamani mbona tukuwa na mateam ambayo hata haya tusaidiii kwanini tusiwakubali wote wawili kwani kuna shida gani duhhhhhhhhhhhhhhhJana simba wa Moro alinena ukweli. Alichokisema naona sasa kimetimia taratibu.
Baada ya [HASHTAG]#MangeKasema[/HASHTAG] kuutangaza wimbo wa Seduce Me kwa siku nne mfululizo na kufanikiwa kuwakamata masikio na mpaka kuwashawishi wanasiasa na watu wengine maarufu ambao kimsingi hata wimbo wenyewe hawajauona zaidi ya video fupi za kwenye ukurasa wa Mange, Sasa amesitisha promo hiyo na ndani ya masaa mawili wimbo huo umeporomoka kwenye video zinazotrend YouTube.
Asante Sana [HASHTAG]#mangekasema[/HASHTAG] kwa kumhadaa KingKiba kwa views 100 kwa mtu mmoja na mpaka kuunda kundi la kuhamasishana kukesha kutizama wimbo wa Seduce Me Youtube ili kuvunja rekodi.