ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Diamond... kashikilia namba yake toka alipoanza. Kafanikiwa ku-Mantain nafasi yako mpaka leo. Wangapi wameweza?! Ally Kiba... uwezo wa kukaa kimya na kurudi kubishana tena na Diamond ni uwezo wa hali ya juu ambao hata DUDU BAYA na Mr Nice wameshindwa kuonyesha. Kwangu mimi hawa wawili ngoma Dro. Kombe nalificha.
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
