Hatuna paparaAL
ALI KIBA ni ZILIPENDWA!
Roho mbaya kivipi tena Mrembo?
[emoji119] [emoji23]Watu akili zimewarudi sasa wanarudi kumuangalia Mr President Chibu Dangote... Hii inaitwa unataka kukimbia na hauna breki.
Xmass Boy.
Diamond Platinumz mpango mzima ... Seduce me pelekeni kwa wadada huko ... Watu nampenda mlikotokea [emoji23][emoji23] Mange anamatako ya Dada zenu insta nendeni mkayahangalie [emoji51][emoji23][emoji2]
Motivation_Ba.D
Nikweli boss hamna wimbo unaoweza trend mwezi mzima bt nadhan hii ni case tofaut kwani hizi ninyimbo zilizotoka na kupishana masaa kadhaa, nazilikua kwene ushindani mkubwa moja ikiwa yakwanza on tredung(seduce) nyingine ya pili(zilipendwa) kwa siku tano zote tulitegemea sio hii ya pili ije kuipita hii ya kwanza ila tulitegemea zote zingepunguza motooo, au itokee nyimbo nyingne kabisa nje ya hizo mbili itrend...ila ukiona nyimbo zilizotoka kwa nyakati sawa afu ile yakwanza inakuja kupitwa na iliokua ya pili siku kadhaa zilizopita baasi pana force kubwa sana iliopungua kwa ile ya kwanza na hii yapili imekua inaendelea kua na nguvuHuu ushabiki huu, yaani jamaa unajitoa ufahamu makusudi!
Wimbo umetrend kwa zaidi ya siku tano mfululizo bado unaleta ngonjera kama hizo.
By the way, hakuna wimbo unaweza kutrend mwezi mzima hapa TZ youtube.
Vp na report ya views, mbona hujaleta?
Diamond Platinumz mpango mzima ... Seduce me pelekeni kwa wadada huko ... Watu nampenda mlikotokea [emoji23][emoji23] Mange anamatako ya Dada zenu insta nendeni mkayahangalie [emoji51][emoji23][emoji2]
Motivation_Ba.D
Nikiangalia tofauti ya views naona bado seduce me inazidi ile ya zilipendwa,mpaka sasa tofauti ya views imeshafika 830,000,sasa sijajua huwa wanaangalia vigezo gani kuifanya nyimbo itrend ya kwanza you tube, na huwa inachukua muda gani mpaka iondoleweHuu ushabiki huu, yaani jamaa unajitoa ufahamu makusudi!
Wimbo umetrend kwa zaidi ya siku tano mfululizo bado unaleta ngonjera kama hizo.
By the way, hakuna wimbo unaweza kutrend mwezi mzima hapa TZ youtube.
Vp na report ya views, mbona hujaleta?
Nawewe unachanganya madambon nyie dada yenu hatumsemi kujisemea mange jomoni
Niliiona hii sema tu sikuielewabosi.....iyo isiwape jeuri....diamond ameamua kulipia tangazo instagram...kaspomsor page kuipa kiki zilipendwa.....na pamoja na hayo yote bado gape linazidi kutanuka.....mpaka sasa utofauti ni zaidi la viewers laki tisa....pamoja na kusponsor post bado ameshindwa kupunguza gap kati ya viewers wa video hizi mbili.
Kumbe umeliona hilo,maana nilichokuwa nakiona licha ya mange kusitisha promo kama wanavyodai,still views zinaongezeka kati ya seduce me na zilipendwa zinakaribia laki 9 sasa,na si zilipendwa kupunguza gape ya views,bosi.....iyo isiwape jeuri....diamond ameamua kulipia tangazo instagram...kaspomsor page kuipa kiki zilipendwa.....na pamoja na hayo yote bado gape linazidi kutanuka.....mpaka sasa utofauti ni zaidi la viewers laki tisa....pamoja na kusponsor post bado ameshindwa kupunguza gap kati ya viewers wa video hizi mbili.
Unajitahidi kushawishi ila hujui namna ya kushawishiNikweli boss hamna wimbo unaoweza trend mwezi mzima bt nadhan hii ni case tofaut kwani hizi ninyimbo zilizotoka na kupishana masaa kadhaa, nazilikua kwene ushindani mkubwa moja ikiwa yakwanza on tredung(seduce) nyingine ya pili(zilipendwa) kwa siku tano zote tulitegemea sio hii ya pili ije kuipita hii ya kwanza ila tulitegemea zote zingepunguza motooo, au itokee nyimbo nyingne kabisa nje ya hizo mbili itrend...ila ukiona nyimbo zilizotoka kwa nyakati sawa afu ile yakwanza inakuja kupitwa na iliokua ya pili siku kadhaa zilizopita baasi pana force kubwa sana iliopungua kwa ile ya kwanza na hii yapili imekua inaendelea kua na nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app