Masaa mawili baada ya Mange kusitisha promo ya Seduce Me, Zilipendwa yakamata #1 on Trending

Kuna timu isheshikwa pabaya, tena kwenye P.U.M.B.U! kwa heri KIBAMIA

Hate me at your own risk
 
Diamond Platinumz mpango mzima ... Seduce me pelekeni kwa wadada huko ... Watu nampenda mlikotokea [emoji23][emoji23] Mange anamatako ya Dada zenu insta nendeni mkayahangalie [emoji51][emoji23][emoji2]

Motivation_Ba.D
 
Mi nafikiri muda umefika wa Alikiba for real kumtumia huyu mwana mama kwa manufaa ya mziki wake, kwa sisi wambea wa zamani (sio hawa chipukizi wa sasa) tunakumbuka Mange aliwahi kusema namnukuu "Diamond asingeachana na Wema, ningejitolea kuwa promoter wake kwa upande wa USA, tena bureee kabisa".... Mwisho wakunukuu.
Hii inanifanya niamini Mange anauwezo wakiushawishi ambae ungemsaidia sana Alikiba kumgaragaza mpinzani wake, kwakuwa ana influence ya ile timu ileeee, (timu dada mange kasema)
 
Diamond Platinumz mpango mzima ... Seduce me pelekeni kwa wadada huko ... Watu nampenda mlikotokea [emoji23][emoji23] Mange anamatako ya Dada zenu insta nendeni mkayahangalie [emoji51][emoji23][emoji2]

Motivation_Ba.D
904bd1f2d5e30eeb93559ac30d655971.jpg
mbon nyie dada yenu hatumsemi kujisemea mange jomoni
 
Huu ushabiki huu, yaani jamaa unajitoa ufahamu makusudi!

Wimbo umetrend kwa zaidi ya siku tano mfululizo bado unaleta ngonjera kama hizo.

By the way, hakuna wimbo unaweza kutrend mwezi mzima hapa TZ youtube.

Vp na report ya views, mbona hujaleta?
Nikweli boss hamna wimbo unaoweza trend mwezi mzima bt nadhan hii ni case tofaut kwani hizi ninyimbo zilizotoka na kupishana masaa kadhaa, nazilikua kwene ushindani mkubwa moja ikiwa yakwanza on tredung(seduce) nyingine ya pili(zilipendwa) kwa siku tano zote tulitegemea sio hii ya pili ije kuipita hii ya kwanza ila tulitegemea zote zingepunguza motooo, au itokee nyimbo nyingne kabisa nje ya hizo mbili itrend...ila ukiona nyimbo zilizotoka kwa nyakati sawa afu ile yakwanza inakuja kupitwa na iliokua ya pili siku kadhaa zilizopita baasi pana force kubwa sana iliopungua kwa ile ya kwanza na hii yapili imekua inaendelea kua na nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo ilivyokua hiyo namba moja ndio nini sasa, imekusaidia vip?? Pambana na hali yako broo hao wanaokupotzea mda kuwafuatlia walishatusua

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilisema huko nyuma hizi nyimbo 2 tuzipe wiki at least mbili ndio tutapata ukweli wa ipi bora, maana zile siku 3 za mwanzo ni upepo tu. Usikute baada ya wiki 2 Zilipendwa ukawa na views nyingi kuliko seduce me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ushabiki huu, yaani jamaa unajitoa ufahamu makusudi!

Wimbo umetrend kwa zaidi ya siku tano mfululizo bado unaleta ngonjera kama hizo.

By the way, hakuna wimbo unaweza kutrend mwezi mzima hapa TZ youtube.

Vp na report ya views, mbona hujaleta?
Nikiangalia tofauti ya views naona bado seduce me inazidi ile ya zilipendwa,mpaka sasa tofauti ya views imeshafika 830,000,sasa sijajua huwa wanaangalia vigezo gani kuifanya nyimbo itrend ya kwanza you tube, na huwa inachukua muda gani mpaka iondolewe
 
bosi.....iyo isiwape jeuri....diamond ameamua kulipia tangazo instagram...kaspomsor page kuipa kiki zilipendwa.....na pamoja na hayo yote bado gape linazidi kutanuka.....mpaka sasa utofauti ni zaidi la viewers laki tisa....pamoja na kusponsor post bado ameshindwa kupunguza gap kati ya viewers wa video hizi mbili.
Niliiona hii sema tu sikuielewa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Kumbe umeliona hilo,maana nilichokuwa nakiona licha ya mange kusitisha promo kama wanavyodai,still views zinaongezeka kati ya seduce me na zilipendwa zinakaribia laki 9 sasa,na si zilipendwa kupunguza gape ya views,
 
Nikweli boss hamna wimbo unaoweza trend mwezi mzima bt nadhan hii ni case tofaut kwani hizi ninyimbo zilizotoka na kupishana masaa kadhaa, nazilikua kwene ushindani mkubwa moja ikiwa yakwanza on tredung(seduce) nyingine ya pili(zilipendwa) kwa siku tano zote tulitegemea sio hii ya pili ije kuipita hii ya kwanza ila tulitegemea zote zingepunguza motooo, au itokee nyimbo nyingne kabisa nje ya hizo mbili itrend...ila ukiona nyimbo zilizotoka kwa nyakati sawa afu ile yakwanza inakuja kupitwa na iliokua ya pili siku kadhaa zilizopita baasi pana force kubwa sana iliopungua kwa ile ya kwanza na hii yapili imekua inaendelea kua na nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitahidi kushawishi ila hujui namna ya kushawishi

Back
Top Bottom