Masaa mawili baada ya Mange kusitisha promo ya Seduce Me, Zilipendwa yakamata #1 on Trending

nimeupenda huu ushindani...at the end of the day ni mziki wa Bongo ndiyo unaenda mbele....!
 
So kiba kaimba then Mange ndio kampaisha. Acheni uzwazwa. Nyimbo ya kiba imependwa km ilivyo sio promo.
Na tatizo Diamond sauti yake,tune,beat vishazoeleka sana.watu wanataka vitu tofauti.
Anaiga mno wapopo wakati akiimba Nyimbo kibongo zinatoka poa sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Million dollars
 
wakuu, hivi views zinahesabika vipi? unaweza view Mara 10 na ikahesabika idadi hiyo? au sheria za YouTube zinaruhusu view moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…