Masaa mawili baada ya Mange kusitisha promo ya Seduce Me, Zilipendwa yakamata #1 on Trending

Masaa mawili baada ya Mange kusitisha promo ya Seduce Me, Zilipendwa yakamata #1 on Trending

Mkuu jana usiku katika pita pita Zangu you tube nikakutana na hii hali
bc6a0422aaf0523a7443ef880c664798.jpg

b2cc0ff7c17973fe72ecf557ef33d29e.jpg
 
nimeupenda huu ushindani...at the end of the day ni mziki wa Bongo ndiyo unaenda mbele....!
 
So kiba kaimba then Mange ndio kampaisha. Acheni uzwazwa. Nyimbo ya kiba imependwa km ilivyo sio promo.
Na tatizo Diamond sauti yake,tune,beat vishazoeleka sana.watu wanataka vitu tofauti.
Anaiga mno wapopo wakati akiimba Nyimbo kibongo zinatoka poa sana.
 
bosi.....iyo isiwape jeuri....diamond ameamua kulipia tangazo instagram...kaspomsor page kuipa kiki zilipendwa.....na pamoja na hayo yote bado gape linazidi kutanuka.....mpaka sasa utofauti ni zaidi la viewers laki tisa....pamoja na kusponsor post bado ameshindwa kupunguza gap kati ya viewers wa video hizi mbili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Million dollars
 
wakuu, hivi views zinahesabika vipi? unaweza view Mara 10 na ikahesabika idadi hiyo? au sheria za YouTube zinaruhusu view moja?
 
Back
Top Bottom