Masaa ya kufanya kazi Tanzania ni machache mno, Nini kifanyike

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Muda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo.

Awe masikini awe tajiri wote tuna masaa 24.

Nchi tajiri na nchi masikini wote tuna saa 24.

Tofauti sasa ya Matajiri na masikini ipo kwenye Muda. Tajiri anatumia vipi masaa 24 yake masikini anatumia vipi masaa 24 yake.

Ofisi nyingi Tanzania zinafunguliwa saa 2 kamili na kufungwa saa 10 kamili. Hivyo muda wa kufanya kazi ni masaa 8 baada ya hapo ofisi inafungwa hadi kesho.

Je hayo msaa 16 yanaenda wapi? yanatumika vipi?

Wenzetu tunao taka kushindana nao hawalali Ofisi hazifungwi, maduka hayafungwi, usafiri ni masaa 24.

Je inashindikana vipi TRA kufanya kazi masaa 24 na kuwa na watu wa shift tu?Mlango wa TRA haupaswi kufungwa kamwe.

Je mabenki yanashindwa nini ku oparate masaa 24?

Maduka hasa miji mikubwa yanashindwa nini kufanya kazi masaa 24? Miji kama Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya maduka hayapaswi kufungwa. Biashara hasa maduka makubwa hayapaswi kufungwa bali kuwe na shift tu.

Ofisi za Umma zile muhimu hazipaswi kufungwa kabisa bali kuwepo na shift tu.

Wakati wa amani kama sasa Why Wajeda waitoe ulinzi? walinde biashara za watu usiku.

Walinde mabenki yanayo oparaye usiku, watoe escot kwa mabasi yanayo safiri usiku.

MFANO
Mtu anatoka Mwanza kuja kufanya Shoping au kupata huduma ofisi fulani. atasafiri kwa basi masaa 13 hadi 14 atafika Dar atalala kesho ataamuka ataenda kupata huduma akimaliza atarudi tena kulala kesho kutwa ataamka kuanza safari kurudi Mwanza naatafika usiku atalala kesho.

Kuna msaa mengi sana yanapotea mengi mno.

Hata Barabara zikijengwa vipi, bila kuangalia swala la muda unao potea ni kazi bure.

Wenzetu hawalali.

Hili linawezekana na halihitaji hisani ya Watu wa kule mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ungesaidia kunitoa ushamba,ni miji gani hyo ambayo ina huduma ya public transport masaa 24,pia ni miji gani ya hao 'wenzetu' ambako maduka na biashara zinakuwa wazi masaa 24.

Good points, lakini kwa nchi kama ya Tanzania ukifungua duka lako 24 hours usiku unaweza kuvamiwa na kuibiwa vitu vyako vyoye pia labda kuuliwa. Labda kama mtaa wote kuna maduka mengi yanafungua 24 hours na wanafanya kama wewe, pia unatakiwa uwe na security kubwa wenye bunduki pia CCTV kwenye eneo lote, kuangalia kabla wezi hawajafika kwenye duka lako.

TRA wanaweza kufanya hivyo kirahisi( Kwa sababu Serikali inaweza kuwaambia Polisi wakae pale) lakini kwa mtu binafsi siyo rahisi sana.

Benki kama ni private unasema Serikali iwalinde kwa bure?

Mshahara wa polisi ni mdogo, kama hapati rushwa anaweza kuwa hajari sana au pia anaweza kuamua kumsaidia mwizi kama atampa hela kubwa ya kutosha. Kabla haya mambo hayatokea kuna vitu fulani inabidi vifanyike vizuri sana.

Kama hivi:-
1. Mshahara wa kutosha Kwa polisi, Walinzi.
2. CCTV to cover big areas to identify watu wabaya wakiwa mbali ili kujiweka sawa kukamilikiana nao wakiwa karibu na silaha za kutosha.
3. Assistance should be available in short notice, Which means less than 10 minutes. It means a lot of well trained police with very powerful weapons should on stand by and read to assist on short notice. This is how other developed countries do it.
 
Mkuu Wanajeshi wapo, Why wasisaidie kulinda? Unajua kwa nini Jiji kama Kigari hakuna Wizi? ni kwa sababu Ulinzi ni wa Jeshi. It is posible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ungesaidia kunitoa ushamba,ni miji gani hyo ambayo ina huduma ya public transport masaa 24,pia ni miji gani ya hao 'wenzetu' ambako maduka na biashara zinakuwa wazi masaa 24.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, Kwa Tanzania sijui kama inawwezekana. Lakini kwa UK maduka mengi (supermarkets) watu wanafanya Kazi 24 hours. Kama Tesco, Asda and Sainsbury. Pia kwenye viwanda vingi na sekta nyingi kama Productions plants / factories, Media: (TV, internet and Radio companies), Food Industry ( Mcdonald's, KFC, Burger Kings and many others wana 24 hours services.) Driving etc. Kitu cha muhimu ni usalama. Hawa wana usalama mkubwa kuliko sisi usiku.
 
Hahahaa katika ubora wetu. Miji mingi sana huko Duniani, Mingi mno.

By the ways Marekani wakati inajebgwa hawakusema mbona Londoni haijaendelea ao na sisi tukae kimya. Au China isemebona India hakuna Treni ya mwendo kasi kwa nini sisi tuweke?

Wabongo mara nyingi hata Bungeni utasikia Mheshimiwa anajibu kwambabona hata Nchi fualani wana shida ya Hospitali? au mbona hata nchi fulani kuna foleni?

Haya ni mawazo ya watu wali koma kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Wanajeshi wapo, Why wasisaidie kulinda? Unajua kwa nini Jiji kama Kigari hakuna Wizi? ni kwa sababu Ulinzi ni wa Jeshi. It is posible

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, it is possible, lakini hata hapo Rwanda sijui kama wana resources zaku employ watu walinde kwa masaa 24 kampuni na maduka mengi sana yawe wazi? Lakini nakubari nchi yao iko vizuri sana kwenye mambo ya usalama.
 
hii bonge ya point... mimi nilikuwa hyderabad india nikahitaji msos.. nikaenda kfc nikauziwa chakula saa 8 usiku...

kwa bongo saa 8 usiku migahawa ya maana imefungwa na wafanyakazi wamelala...halafu tusipoendelea tunatafuta mchawi
 
Mkuu tunapoteza myda mwingi sana acha tu Migahawa wewe fikiria Ofisi kama TRA inafubgwa then asubuhi unakutana na bonge la foleni.

Muda ni resources ya muhimu sana ila tunaupoteza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Kwa Tanzania sijui kama inawwezekana. Lakini kwa UK maduka mengi (supermarkets) watu wanafanya Kazi 24 hours. Kama Tesco, Asda and Sainsbury. Pia kwenye viwanda vingi na sekta nyingi kama Productions plants / factories, Media: (TV, internet and Radio companies), Food Industry ( Mcdonald's, KFC, Burger Kings and many others wana 24 hours services.) Driving etc. Kitu cha muhimu ni usalama. Hawa wana usalama mkubwa kuliko sisi usiku.
Mkuu ungesema baadhi ya biashara ndo huwa zinakesha kama hao akina mcdonald na wengineo ambao ni asilimia chache sana ya maduka na biashara ndo huwa zinakuwa wazi,hata huky uswahilini kwetu kuna kiduka cha mangi nacho kinakesha.Kwenye usafiri sijawahi kusikia nchi ambayo huduma za usafiri wa public zinaendelea zaidi ya saa sita,sanasana ni taxi tu kama huku kwetu.

Alafu usinigeuzia kibao,wewe ndie uliyefanya comparison kati yetu na hao wenzetu walioendelea,sio mimi.Mimi nimeuliza tu kufahamu hao wenzetu uliokuwa unawazungumzia
 
Mkuu ungesema baadhi ya biashara ndo huwa zinakesha kama hao akina mcdonald na wengineo ambao ni asilimia chache sana ya maduka na biashara ndo huwa zinakuwa wazi,hata huky uswahilini kwetu kuna kiduka cha mangi nacho kinakesha.Kwenye usafiri sijawahi kusikia nchi ambayo huduma za usafiri wa public zinaendelea zaidi ya saa sita,sanasana ni taxi tu kama huku kwetu.
Nchi zipi?,usikute unazungumzia Kongo au Somalia. Majiji mengi usiku ni mchana. Huduma kuanzia za Safari za ndege na treni ni masaa 24 mkuu mambo ya kulala yako Africa huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa katika ubora wetu. Miji mingi sana huko Duniani, Mingi mno.

By the ways Marekani wakati inajebgwa hawakusema mbona Londoni haijaendelea ao na sisi tukae kimya. Au China isemebona India hakuna Treni ya mwendo kasi kwa nini sisi tuweke?

Wabongo mara nyingi hata Bungeni utasikia Mheshimiwa anajibu kwambabona hata Nchi fualani wana shida ya Hospitali? au mbona hata nchi fulani kuna foleni?

Haya ni mawazo ya watu wali koma kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa mfano yaani maduka karibu yote yanaofungua 24 hours hata kama wanaouza vitu vidogo vidogo kama restaurants an vitu vkuibwa kama Big Supermarkets and Benki wote wana mawasiliano na Polisi. Sasa unaweza kukuta ni wasichana wachache na wadogo ndio sana wako kwenye shop au kwenye Benki hata hakuna mtu mwingine yoyote.

Lakini kuna watu wanakuangalia kwenye CCTV kwenye chumba kingine na kuna sehemu wakiponyeza polisi wanakuja kabla hata ya dakika tano. Wengi wa kutosha wakiwa na silaha na watu wa kutosha. Ni vigumu sana kukimbia, hata ukikimba watakuwa na picha yako au DNA yako. wataweza kukupata baada ya muda fulani bila matatizo.

Kwa sasa hivi naona kama Tanzania ni sehemu chache sana wanaweza kuweka kama hii system Labda kwenye miji mikubwa tuu.
 
Nchi zipi?,usikute unazungumzia Kongo au Somalia. Majiji mengi usiku ni mchana. Huduma kuanzia za Safari za ndege na treni ni masaa 24 mkuu mambo ya kulala yako Africa huku.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa maduka makubwa na vitu vya serikali kama Airports na Train stations wanaweza kuweka uslama mzuri.

Naongelea mambo kama maduka ya binafsi kufungua 24 hours. Kama wewe au mimi kufungua duka kwa masaa haya. Sasa unaniambia ni salama kuwa kufungua duka kwa masaa 24 kwenye sehemu nyingi hapa kwetu ni salama?
 
Kwa mfano yaani maduka karibu yote yanaofungua 24 hours hata kama wanaouza vitu vidogo vidogo kama restaurants an vitu vkuibwa kama Big Supermarkets and Benki wote wana mawasiliano na Polisi. Sasa unaweza kukuta ni wasichana wachache na wadogo ndio sana wako kwenye shop au kwenye Benki hata hakuna mtu mwingine yoyote.

Lakini kuna watu wanakuangalia kwenye CCTV kwenye chumba kingine na kuna sehemu wakiponyeza polisi wanakuja kabla hata ya dakika tano. Wengi wa kutosha wakiwa na silaha na watu wa kutosha. Ni vigumu sana kukimbia, hata ukikimba watakuwa na picha yako au DNA yako. wataweza kukupata baada ya muda fulani bila matatizo.

Kwa sasa hivi naona kama Tanzania ni sehemu chache sana wanaweza kuweka kama hii system Labda kwenye miji mikubwa tuu.
Nothing imposible. Ulinzi ukiimalishwa inawezekana kabisa.

Na sio lazima maduka yote namanisha CDB.

Centre of Business District. Sehemu kama Kariakoo hakupaswi kufungwa watu wanakuja kufunga mizigo yao yakupelekea mikoani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Titimunda tembea uone, nenda Hong Kong tu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hong kong mbona ni my second home,kuanzia kamtin,sham shui po,tsim tsa tsui mpaka wanchai kote mwenyeji.nmetoka huko juzi tu

339915a4a449a29d5cf5688fce9744a6.jpg
 
Back
Top Bottom