CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Muda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo.
Awe masikini awe tajiri wote tuna masaa 24.
Nchi tajiri na nchi masikini wote tuna saa 24.
Tofauti sasa ya Matajiri na masikini ipo kwenye Muda. Tajiri anatumia vipi masaa 24 yake masikini anatumia vipi masaa 24 yake.
Ofisi nyingi Tanzania zinafunguliwa saa 2 kamili na kufungwa saa 10 kamili. Hivyo muda wa kufanya kazi ni masaa 8 baada ya hapo ofisi inafungwa hadi kesho.
Je hayo msaa 16 yanaenda wapi? yanatumika vipi?
Wenzetu tunao taka kushindana nao hawalali Ofisi hazifungwi, maduka hayafungwi, usafiri ni masaa 24.
Je inashindikana vipi TRA kufanya kazi masaa 24 na kuwa na watu wa shift tu?Mlango wa TRA haupaswi kufungwa kamwe.
Je mabenki yanashindwa nini ku oparate masaa 24?
Maduka hasa miji mikubwa yanashindwa nini kufanya kazi masaa 24? Miji kama Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya maduka hayapaswi kufungwa. Biashara hasa maduka makubwa hayapaswi kufungwa bali kuwe na shift tu.
Ofisi za Umma zile muhimu hazipaswi kufungwa kabisa bali kuwepo na shift tu.
Wakati wa amani kama sasa Why Wajeda waitoe ulinzi? walinde biashara za watu usiku.
Walinde mabenki yanayo oparaye usiku, watoe escot kwa mabasi yanayo safiri usiku.
MFANO
Mtu anatoka Mwanza kuja kufanya Shoping au kupata huduma ofisi fulani. atasafiri kwa basi masaa 13 hadi 14 atafika Dar atalala kesho ataamuka ataenda kupata huduma akimaliza atarudi tena kulala kesho kutwa ataamka kuanza safari kurudi Mwanza naatafika usiku atalala kesho.
Kuna msaa mengi sana yanapotea mengi mno.
Hata Barabara zikijengwa vipi, bila kuangalia swala la muda unao potea ni kazi bure.
Wenzetu hawalali.
Hili linawezekana na halihitaji hisani ya Watu wa kule mbele
Sent using Jamii Forums mobile app