CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Umesoma post yangu au umeanza kwa ku coment kwanza?Naongelea mambo kama maduka ya binafsi 24 hours. Sasa unaniambia ni salama kuwa kufungua duka lako kwa masaa 24 kwenye sehemu nyingi hapa kwetu?
Nothing imposible. Ulinzi ukiimalishwa inawezekana kabisa.
Na sio lazima maduka yote namanisha CDB.
Centre of Business District. Sehemu kama Kariakoo hakupaswi kufungwa watu wanakuja kufunga mizigo yao yakupelekea mikoani. Sent using Jamii Forums mobile app
It all good bro. Keep it up.Mkuu hong kong mbona ni my second home,kuanzia kamtin,sham shui po,tsim tsa tsui mpaka wanchai kote mwenyeji.nmetoka huko juzi tu
Mkuu tunapoteza myda mwingi sana acha tu Migahawa wewe fikiria Ofisi kama TRA inafubgwa then asubuhi unakutana na bonge la foleni.
Muda ni resources ya muhimu sana ila tunaupoteza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
labda dar huku mikoani hata uende saa nane usiku unahudumiwa
Tutafika tu huko subiri SGR IKAMILIKEMuda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo.
Awe masikini awe tajiri wote tuna masaa 24.
Nchi tajiri na nchi masikini wote tuna saa 24.
Tofauti sasa ya Matajiri na masikini ipo kwenye Muda. Tajiri anatumia vipi masaa 24 yake masikini anatumia vipi masaa 24 yake.
Ofisi nyingi Tanzania zinafunguliwa saa 2 kamili na kufungwa saa 10 kamili. Hivyo muda wa kufanya kazi ni masaa 8 baada ya hapo ofisi inafungwa hadi kesho.
Je hayo msaa 16 yanaenda wapi? yanatumika vipi?
Wenzetu tunao taka kushindana nao hawalali Ofisi hazifungwi, maduka hayafungwi, usafiri ni masaa 24.
Je inashindikana vipi TRA kufanya kazi masaa 24 na kuwa na watu wa shift tu?Mlango wa TRA haupaswi kufungwa kamwe.
Je mabenki yanashindwa nini ku oparate masaa 24?
Maduka hasa miji mikubwa yanashindwa nini kufanya kazi masaa 24? Miji kama Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya maduka hayapaswi kufungwa. Biashara hasa maduka makubwa hayapaswi kufungwa bali kuwe na shift tu.
Ofisi za Umma zile muhimu hazipaswi kufungwa kabisa bali kuwepo na shift tu.
Wakati wa amani kama sasa Why Wajeda waitoe ulinzi? walinde biashara za watu usiku.
Walinde mabenki yanayo oparaye usiku, watoe escot kwa mabasi yanayo safiri usiku.
MFANO
Mtu anatoka Mwanza kuja kufanya Shoping au kupata huduma ofisi fulani. atasafiri kwa basi masaa 13 hadi 14 atafika Dar atalala kesho ataamuka ataenda kupata huduma akimaliza atarudi tena kulala kesho kutwa ataamka kuanza safari kurudi Mwanza naatafika usiku atalala kesho.
Kuna msaa mengi sana yanapotea mengi mno.
Hata Barabara zikijengwa vipi, bila kuangalia swala la muda unao potea ni kazi bure.
Wenzetu hawalali.
Hili linawezekana na halihitaji hisani ya Watu wa kule mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofisi zinakuwa wazi sio? Benki zinakuwa zimefunguliwa. Au unazungumzia Huduma za gest?labda dar huku mikoani hata uende saa nane usiku unahudumiwa
Mkuu mij8 mingi ambayo hailali still wana huduma hizo unazo sema.Pia vitu kama hivi vinaweza kuwekwa kwenye mtandanao (Online).
Nchi nyingi za Africa [emoji288] zimeamuka kama Egypt, South Africa, Nigeria, Algeria na Morocco majiji makubwa kalibia mengi yanafanya kazi 24 hrs. Serikali ingeboresha usalama, watu wakafanya kazi masaa 24Nchi zipi?,usikute unazungumzia Kongo au Somalia. Majiji mengi usiku ni mchana. Huduma kuanzia za Safari za ndege na treni ni masaa 24 mkuu mambo ya kulala yako Africa huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
sorry brother umeninukuu vibaya nilkuwa namjibu aliyezungumza kuhusu petrol stationOfisi zinakuwa wazi sio? Benki zinakuwa zimefunguliwa. Au unazungumzia Huduma za gest?
Zizungumzii Baaa na Virabu vya pombe za kienyeji nazungummzia maduka na ofisi muhimu na zenye impact.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mshahara huu huu wa TGS?? Una wazim weeweMuda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo.