Masaa ya kufanya kazi Tanzania ni machache mno, Nini kifanyike

Masaa ya kufanya kazi Tanzania ni machache mno, Nini kifanyike

Naongelea mambo kama maduka ya binafsi 24 hours. Sasa unaniambia ni salama kuwa kufungua duka lako kwa masaa 24 kwenye sehemu nyingi hapa kwetu?
Umesoma post yangu au umeanza kwa ku coment kwanza?

Nimetaja miji mikubwa kama Dar, Mwanza na Arusha na Mbeya.

Why miji mikubwa? huko ndo watu huja kwa shoping. Chukulia mfano Arusha watu wan mikoa kama Manyara na Singida na Kilimanjaro wanakuja so inatakiwa juwa bise.

Dar inahudumia nchi nzima. Kariakoo haipaswi kufungwa.

Swala la usalama nazani nimeeleza kabisa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nothing imposible. Ulinzi ukiimalishwa inawezekana kabisa.

Na sio lazima maduka yote namanisha CDB.

Centre of Business District. Sehemu kama Kariakoo hakupaswi kufungwa watu wanakuja kufunga mizigo yao yakupelekea mikoani. Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ni Kariakoo au just few Centres of Business District siyo vigumu kabisa. i thought you were making wider point.
 
Mkuu hong kong mbona ni my second home,kuanzia kamtin,sham shui po,tsim tsa tsui mpaka wanchai kote mwenyeji.nmetoka huko juzi tu

339915a4a449a29d5cf5688fce9744a6.jpg
It all good bro. Keep it up.
 
Muda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo.

Awe masikini awe tajiri wote tuna masaa 24.

Nchi tajiri na nchi masikini wote tuna saa 24.

Tofauti sasa ya Matajiri na masikini ipo kwenye Muda. Tajiri anatumia vipi masaa 24 yake masikini anatumia vipi masaa 24 yake.

Ofisi nyingi Tanzania zinafunguliwa saa 2 kamili na kufungwa saa 10 kamili. Hivyo muda wa kufanya kazi ni masaa 8 baada ya hapo ofisi inafungwa hadi kesho.

Je hayo msaa 16 yanaenda wapi? yanatumika vipi?

Wenzetu tunao taka kushindana nao hawalali Ofisi hazifungwi, maduka hayafungwi, usafiri ni masaa 24.

Je inashindikana vipi TRA kufanya kazi masaa 24 na kuwa na watu wa shift tu?Mlango wa TRA haupaswi kufungwa kamwe.

Je mabenki yanashindwa nini ku oparate masaa 24?

Maduka hasa miji mikubwa yanashindwa nini kufanya kazi masaa 24? Miji kama Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya maduka hayapaswi kufungwa. Biashara hasa maduka makubwa hayapaswi kufungwa bali kuwe na shift tu.

Ofisi za Umma zile muhimu hazipaswi kufungwa kabisa bali kuwepo na shift tu.

Wakati wa amani kama sasa Why Wajeda waitoe ulinzi? walinde biashara za watu usiku.

Walinde mabenki yanayo oparaye usiku, watoe escot kwa mabasi yanayo safiri usiku.

MFANO
Mtu anatoka Mwanza kuja kufanya Shoping au kupata huduma ofisi fulani. atasafiri kwa basi masaa 13 hadi 14 atafika Dar atalala kesho ataamuka ataenda kupata huduma akimaliza atarudi tena kulala kesho kutwa ataamka kuanza safari kurudi Mwanza naatafika usiku atalala kesho.

Kuna msaa mengi sana yanapotea mengi mno.

Hata Barabara zikijengwa vipi, bila kuangalia swala la muda unao potea ni kazi bure.

Wenzetu hawalali.

Hili linawezekana na halihitaji hisani ya Watu wa kule mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutafika tu huko subiri SGR IKAMILIKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zipi?,usikute unazungumzia Kongo au Somalia. Majiji mengi usiku ni mchana. Huduma kuanzia za Safari za ndege na treni ni masaa 24 mkuu mambo ya kulala yako Africa huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi nyingi za Africa [emoji288] zimeamuka kama Egypt, South Africa, Nigeria, Algeria na Morocco majiji makubwa kalibia mengi yanafanya kazi 24 hrs. Serikali ingeboresha usalama, watu wakafanya kazi masaa 24
 
Inawezekana kabisa lakini pale tu kungewekwa pilot projects kuona kama itafaa kuweka kila mahala.

Yaani unaanza na kasehemu kadogo kujaribu hiyo ya kufungua maduka na biashara kwa msaa 24 halafu kama kuna mafanikio ndiyo unaweka sera na sheria na kuongoza hayo hivyo ndivyo wenzetu waloendela wanafanya.

Kwa mfano inaamuliwa kwamba maeneo kama Kariakoo, Masaki, Ubungo (tayari tuna Mlimani City), Kinondoni, Kimara na Mbezi yanakuwa maeneo ya biashara rasmi masaa 24 yaani Financial Districts.

Yaani hapo kuna kila kitu maduka makubwa Shopping Centres, mabenki yaaani ATMs na kufungua hadi jumamosi), migahawa, kumbi za cinema, bustani maalum za kupumzikia na kadhalika.

Bila kukosa , ulinzi, ama physical au CCTV, maegesho ya magari na mambo mengine yote muhimu.

Lakini unapoanza unaanza na eneo moja na twaweza sema kwamba twaanza na Mlimani City kupafanya Financial District, pawe na kila kitu mtu anachohitaji.

Ikifanikiwa hiyo basi unahamishia hiyo concept kwenda hayo maeneo mengine.

Ila hayo yote yanategemea na mazingira ya hizo sehemu kama idadi ya watu yaani uwezo wao wa kutumia pesa na mahitaji mengine kama umeme wa masaa 24 na maji.

Vinginevyo wazo lako ni top class.
 
Muda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo.

Awe masikini awe tajiri wote tuna masaa 24.

Nchi tajiri na nchi masikini wote tuna saa 24.

Tofauti sasa ya Matajiri na masikini ipo kwenye Muda. Tajiri anatumia vipi masaa 24 yake masikini anatumia vipi masaa 24 yake.

Ofisi nyingi Tanzania zinafunguliwa saa 2 kamili na kufungwa saa 10 kamili. Hivyo muda wa kufanya kazi ni masaa 8 baada ya hapo ofisi inafungwa hadi kesho.

Je hayo msaa 16 yanaenda wapi? yanatumika vipi?

Wenzetu tunao taka kushindana nao hawalali Ofisi hazifungwi, maduka hayafungwi, usafiri ni masaa 24.

Je inashindikana vipi TRA kufanya kazi masaa 24 na kuwa na watu wa shift tu?Mlango wa TRA haupaswi kufungwa kamwe.

Je mabenki yanashindwa nini ku oparate masaa 24?

Maduka hasa miji mikubwa yanashindwa nini kufanya kazi masaa 24? Miji kama Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya maduka hayapaswi kufungwa. Biashara hasa maduka makubwa hayapaswi kufungwa bali kuwe na shift tu.

Ofisi za Umma zile muhimu hazipaswi kufungwa kabisa bali kuwepo na shift tu.

Wakati wa amani kama sasa Why Wajeda waitoe ulinzi? walinde biashara za watu usiku.

Walinde mabenki yanayo oparaye usiku, watoe escot kwa mabasi yanayo safiri usiku.

MFANO
Mtu anatoka Mwanza kuja kufanya Shoping au kupata huduma ofisi fulani. atasafiri kwa basi masaa 13 hadi 14 atafika Dar atalala kesho ataamuka ataenda kupata huduma akimaliza atarudi tena kulala kesho kutwa ataamka kuanza safari kurudi Mwanza naatafika usiku atalala kesho.

Kuna msaa mengi sana yanapotea mengi mno.

Hata Barabara zikijengwa vipi, bila kuangalia swala la muda unao potea ni kazi bure.

Wenzetu hawalali.

Hili linawezekana na halihitaji hisani ya Watu wa kule mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mshahara huu huu wa TGS?? Una wazim weewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom